Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaishaKalijifunze madhara ya sigara na ya bangi halafu uje kutueleza hapa.
Kuna wengine baada ya hapo ni kazi, ukitaka kuona vizuri hili nenda vijijini ukaone maajabu ya hawa watu kwenye kazi, zamani mababu zetu walikua na nguvu kulima robo hekari mtu mmoja lilikua jambo la kawaida lakini siku hizi wanaweza wavuta bangi tu, jiulize kwanini hizi nguvu za asili zimeweza kuwa restored kwa bangi tu na sio pombe/sigara/ungaJamaa wamechoka kweli, hao hakuna uzalishaji zaidi ya wizi tu
nikiwaga na kazi kubwa napigaga kwanza mmea na haijawahi kuniangusha,najikutaga nimemaliza tena nimefanya kwa ubora ambao hadi mi mwenyewe najishangaaga..inakuaga kama miujizaKuna wengine baada ya hapo ni kazi, ukitaka kuona vizuri hili nenda vijijini ukaone maajabu ya hawa watu kwenye kazi, zamani mababu zetu walikua na nguvu kulima robo hekari mtu mmoja lilikua jambo la kawaida lakini siku hizi wanaweza wavuta bangi tu, jiulize kwanini hizi nguvu za asili zimeweza kuwa restored kwa bangi tu na sio pombe/sigara/unga
Ndivyo ukweli ulivyo, mmea na kazi ni vitu vinavyoenda sambamba sananikiwaga na kazi kubwa napigaga kwanza mmea na haijawahi kuniangusha,najikutaga nimemaliza tena nimefanya kwa ubora ambao hadi mi mwenyewe najishangaaga..inakuaga kama miujiza
Ingekua kila anaevuta bangi anakua kichaa unafikiri mitaani pangekalika? Au unafikiri wavuta bangi ndio wachache kiasi hicho? Alafu utaka kupindisha ukweli kwamba nicotine iliyopo kwenye sigara haisababishi kansa ya mapafu?Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaisha
Si kweli unachoongea. Kama kuna research yoyote imewahi kufanyika ingekuwa vizuri ukatuletea. Watu wanafuta bangi zaidi ya miaka 20 na wako poa na wala hutajua kama wanavuta.Sio wote wanaovuta sigara wanaathirika, na madhara ya sigara (wanasema ni kansa ya mapafu ijapokuwa halijathibitishwa kwani vyanzo vya kansa mpaka sasa hivi wataalamu wanaganganyikiwa) . Lakini woote wanaovuta bangi wanapata madhara ya afya ya akili ( VICHAA) kuna wanaokuwa ma mental fresh ndio hao ambao wanaitetea ila uki watest kataki viwango vya binadamu mwenye akili sobber unakuta wana vituko vya ajabu ajapo ijapo kuwa wapo wengine waliofanikiwa kimaisha
Ukitumia mmea brain lazima iwe smart...tehhii post imenionesha how your brain is smart
Bibie nawe hiyo kitu inapanda......?Ukitumia mmea brain lazima iwe smart...teh
Kitu kimetoka kwa Mungu hichoo...no chemicals.Bibie nawe hiyo kitu inapanda......?
sio kama ''nyunga'' za Mexico, Brazili na PakistanKitu kimetoka kwa Mungu hichoo...no chemicals.
Hapana.. "nyunga" haifaisio kama ''nyunga'' za Mexico, Brazili na Pakistan
Dah mkuu upo aerious kweli nn bongo marekan hayo mambo yapoHapo ni Maskani, hivi uhuni wa hivi bado upo tu mpaka karne hii!!