Kiwanda cha mmea

kinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M

Mungu tupe uvumilivu..
 
 
Hao ni wale ambao hawafanyi kazi, muda wote maskani
 
Walegalize tulipe kodi, sasa hivi unataka hiyo kodi ikalipwe police station? Mnasema sigara zina mchango mkubwa kwenye kodi hii hapa ndo funga kazi sasa kwa nchi ambazo zilishajitambua
 
Uchumi ukianguka, ajira hakuna na pesa mtaani kupotea chungu ssna nguvu ya vijana inaweza kufika bony la nyuklia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…