Kiwanda cha madawa cha Shellys kina ugomvi gani na Serikali?

Juzi nimemuona mkurugenzi wa MSD akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds360....akaulizwa kuhusu viwanda vya madawa vya hapa nchini cha ajabu akataja viwili tu....MansoorDaya na Zenufa kama nilimsikia vizuri.

But ninavyofahamu kiwanda kikubwa kabisa cha madawa hapa nchini ni shellys.

sio tu kikubwa Tanzania but ni mojawapo ya viwanda vikubwa Africa Mashariki.

Hawa wana branch DRC au nchi ingine ya Afrika niliwahi kusikia...

But habari za mitandaoni zinasema hawa shellys wanapunguza wafanyakazi
na baadhi ya raw materials wanazoagiza zinashikiliwa huko Bandarini...

Huku unaona Rais anasisitiza kuwepo na viwanda vya madawa ili nchi ijitegemee kwa dawa.

Najikuta nina maswali kibao ya kujiuliza.

1. Hawa Shellys wana ugomvi gani na Serikali?
2. Shareholders au wamiliki wa kiwanda hiki ni kina nani?
3. Whats going on?
Kwani kuna tatizo gani umeliona
 
Mtu mwenye roho mbaya kutoka chato hawezi kujenga uchumi wa kawaida sembuse wa viwanda!
 
Tunaviwanda vipya 3000... na lengo viwanda 100 kila mkoa tupo 49% imetimia ndani ya robo ya muda wa lengo.Tupo kwenye right direction
 
Yawezekana wabishi kuchangia harambee za mwana mfalme Bashite.
 
shellys & caspian.

SHELLYS wa kenya.
CASPIAN rostam.

kutakua na shida hapa ya chuki binafsi za watu wa namba 5.
 
Ili Nchi Iendelee Inahitaji :-
1. Watu
2. Uongozi Bora
3. Siasa Safi
4. Ardhi
 
Back
Top Bottom