mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,143
Wenyewe wana lugha hio wanakwambia KEMIKALI BASHIRIFUAtakuwa chini ya uangalizi wa Kamishna SIANGA maana baadhi ya viwanda walikuwa wanatumia vibali vya kuingiza raw materials ndivyo sivyo.
Wenyewe wana lugha hio wanakwambia KEMIKALI BASHIRIFUAtakuwa chini ya uangalizi wa Kamishna SIANGA maana baadhi ya viwanda walikuwa wanatumia vibali vya kuingiza raw materials ndivyo sivyo.
[emoji1] [emoji1] kiswahili fasaha ya iyo lugha ndio lilikuwa linanitatiza mkuu.Wenyewe wana lugha hio wanakwambia KEMIKALI BASHIRIFU
Hahah shukrani mkuu,kiswahili kina maneno magumu siku hizi hata sijui wataalam wanayatoa wapi,hahah[emoji1] [emoji1] kiswahili fasaha ya iyo lugha ndio lilikuwa linanitatiza mkuu.
Nashukuru sana mkuu.
Kabisa mkuu.Hahah shukrani mkuu,kiswahili kina maneno magumu siku hizi hata sijui wataalam wanayatoa wapi,hahah
vihatirifu ndo nini?Au ndio wanaingiza vihatirifu?
Ni KEMIKALI BASHIRIFU mkuu.vihatirifu ndo nini?
Mkuu humu ndo utaratibu wetu. Unaibuka kipindi Fulani, then unapotea unapambana na goals zako. Zikienda vizuri narijudisha taratibuMkuu The Boss ulipotea sana. Anyway wajuzi watatuambia kulikoni
sawaNi KEMIKALI BASHIRIFU mkuu.
Nilisahau kiswahili fasihi ila nilisaidiwa kupata kiswahili fasihi ndio hicho mkuu.
Ndio maana huna hela..Hata kama nina hela yangu sithubutu kufungua kiwanda kwenye hii awamu...
Mbona viko vingi au vimekufaa au waziri hajuii !!?? Kuna keko pharmaceutical cha Dar na Tanzania Pharmaceutical cha ArushaJuzi nimemuona mkurugenzi wa MSD akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds360....akaulizwa kuhusu viwanda vya madawa vya hapa nchini cha ajabu akataja viwili tu....MansoorDaya na Zenufa kama nilimsikia vizuri.
But ninavyofahamu kiwanda kikubwa kabisa cha madawa hapa nchini ni shellys.
sio tu kikubwa Tanzania but ni mojawapo ya viwanda vikubwa Africa Mashariki.
Hawa wana branch DRC au nchi ingine ya Afrika niliwahi kusikia...
But habari za mitandaoni zinasema hawa shellys wanapunguza wafanyakazi
na baadhi ya raw materials wanazoagiza zinashikiliwa huko Bandarini...
Huku unaona Rais anasisitiza kuwepo na viwanda vya madawa ili nchi ijitegemee kwa dawa.
Najikuta nina maswali kibao ya kujiuliza.
1. Hawa Shellys wana ugomvi gani na Serikali?
2. Shareholders au wamiliki wa kiwanda hiki ni kina nani?
3. Whats going on?
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Tatizo la hao viongozi wanaopewa madaraka straight kutoka village hawana exposure na hawana taarifa sahii
Labda ndio waliohujumu mpango wa 'maralia haikubaliki'.
Magufuli anamuogopa sana manji , hata akiwa na hisa 1% , umesahau Tanga cement ?Juzi nimemuona mkurugenzi wa MSD akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds360....akaulizwa kuhusu viwanda vya madawa vya hapa nchini cha ajabu akataja viwili tu....MansoorDaya na Zenufa kama nilimsikia vizuri.
But ninavyofahamu kiwanda kikubwa kabisa cha madawa hapa nchini ni shellys.
sio tu kikubwa Tanzania but ni mojawapo ya viwanda vikubwa Africa Mashariki.
Hawa wana branch DRC au nchi ingine ya Afrika niliwahi kusikia...
But habari za mitandaoni zinasema hawa shellys wanapunguza wafanyakazi
na baadhi ya raw materials wanazoagiza zinashikiliwa huko Bandarini...
Huku unaona Rais anasisitiza kuwepo na viwanda vya madawa ili nchi ijitegemee kwa dawa.
Najikuta nina maswali kibao ya kujiuliza.
1. Hawa Shellys wana ugomvi gani na Serikali?
2. Shareholders au wamiliki wa kiwanda hiki ni kina nani?
3. Whats going on?
Hahaah kwamba bora tukose kiwanda kuliko kuwa chin ya tusiowapendaSera yao ni kukandamiza upinzani sio viwanda tena