Kiwanda cha Kutengeneza Maji

Kwe2 kuna wa2 wamepanda miti ya maparachichi na wameambiwa kitajengwa kiwanda cha kucndika ma2nda. je! unaweza kufika?
 
Acha Dar. Fungua sehemu ambayo kunapatikana matunda ambayo utakuwa unasindika. Utasafirisha bidhaa zako Dar. Kama unatafuta mtu wa ubia, niko interested.Nikiti ambacho nimekuwa ninakifikiria kwa muda. Badala ya kuwa rivals, tunaweza kuweka nguvu pamoja.
Email smwak01@hotmail.com
 
Duuuu set nzima itakugharimu kama sh 100m hivi. Investment yake imesimama kidogo....hapo badp space na nyumba ya uzalishaji....machine zipo china ndio bei rahisi...machine 5 zinatakiwa ili uwe fit zaidi......

Nakushauri kama unataka urahisi zaidi nenda kwa kiwanda cha A1 kinatengeneza maji ya MO Dewji..utapata nembo yako na utatengenezewa maji yako uyapelekee...sokoni

Mkuu naomba kujua icho kiwanda cha A1 kipo wapi au kama una contact zao naomba please
 
TZS 250m bado kiasi kidogo kama unataka kuanzisha kiwanda cha maji kwa ajili ya biashara.

Kuanzisha kiwanda cha maji unahitaji kuwa na aina nne za machine ambazo ni mashine ya kusafishia maji, mashine ya kutengenezea chupa za maji, mashine ya kuwekea maji kwenye chupa na mashine ya kuwekea label. Gharama ya mashine (complete set and / with accessories) ex China au India au Taiwan hadi Dar-es-salaam pamoja na kodi ni kiasi cha TZS 355m.

Mashine ya kusafishia maji (water purifying mashine) = 50m
Mashine ya kutengenezea chupa za maji (bottle manufacturing machine) = 70m
Mashine ya kuwekea maji kwenye chupa (purified water bottling machine) = 50m
Mashine ya kuwekea label (labelling machine) = 7m
Usafiri na bima (freight & insurance) = 35m
Kodi (tax 67%) = 142m

Hapo bado hujajumlisha gharama za kununulia au kukodisha eneo la kuweka kiwanda, malighafi, wafanyakazi / vibarua, gharama za kuendesha mitambo, gharama za maji na umeme, gharama za kujitangaza, usafiri na kadhalika.

Start up cost ni kama TZS 500m, kwa kubana sana.

duh!
 
wasikutishe mpendwa. ukitoa gharama za banda na van, kama utaanza na chupa ndogondogo itabidi uwe na angalau dola 40,000 za kuanzia kwa mshine pekee, lakini kama ni chupa kubwa, hata dola 15,000 utapata mashine za kuanzia. na unaweza kuendelea kuexpand kidogokidogo hadi kufikia scale unayotaka. kwa kuwa umesema una 200m+ unaweza kuanza na chupa za ujazo mbalimbali. kuna mtu tumeishamsaidia na sasa kiwanda kinafanya kazi tayari, so we have practical experience. mashine tulinunua china. za ulaya hazikuwa na advantage, kuna mambo mengi oinabidi ufanye kama kupima aina ya maji kutoka kwenye chanzo chako (water analysis) na uwe na laboratory report ambayo itakuongoza kujua mitambo yako iwe ya technolojia gani nk pia ni vizuri mambo ya tbs na tfda uyazingatie. kuna mengi hapo ndugu. best wishez

true
 
Sikuwahi kujua Kama ni gharama hivi maana nimechimba kisima na kina maji safi sana hayana chumvi kabisa nikawaza kwa baadae ninunue machine ya purifying nianze water bottling kumbe duh.....
 
Sikuwahi kujua Kama ni gharama hivi maana nimechimba kisima na kina maji safi sana hayana chumvi kabisa nikawaza kwa baadae ninunue machine ya purifying nianze water bottling kumbe duh.....

duh!
unammataji kiais gani?
kwanini watu wasichange mitaji yao?
 
Wakuu, nimefanya intensive research kuhusu kiwanda ya kutengeneza maji ya kopo na kusindika Juice. Nimeshaandika business proposal na nimeshafanya simulation kwenye mambo ya finance.

Sasa nataka kujua guideline (muongozo) wa kupata vibali vyote muhimu. Kama kuna mtu anafahamu muongozo huo tafadhali nitumie msg.

Kama kuna mtu anataka kujua gharama za kuanzisha kiwanda, nini kinaitajika uliza tuu.

Mkuu kimya hujibu msg mbona ?
 
Wakuu kiwanda kikisimama mambo ya maabara nitakuwepo kufanya hio kazi mpaka kukuza kiwanda chetu
@Pm kama nitahitajika
 
Hivi member wa jf wote hatuwezi tukaungana na kuchanga hela na tukafanya kitu + kwa maendeleo ya taifa letu jf ikawa na kitu cha kumbukumbu? Yaani inafunguliwa kiwanda kwa michango ya jf member,
 
Mkuu naomba kujua icho kiwanda cha A1 kipo wapi au kama una contact zao naomba please
Njia rahisi mkuu kamata chupa sayona au maji poa soma pale chini utapata address....za watengenezaji watafute....wengi wanaanza kutengenez chupa kwa wengine.....issu ipo TFDA na TBS pamoja na wizara viwanda na ardhi....kote huko utasumbuka kidogo....hasa kubadili matumizi ardhi kuwa biashara kutoka makazi.....
 
Back
Top Bottom