Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Eti wamejiongeza baada ya Lowassa kuongea siku ile alipochukua fomu.Kweli Lowassa kiboko yao.
 
Too late .. Hadaa na Manyanyaso ya Watanzania mwisho October 25
Kiwanda cha General Tyre kufunguliwa muda wowote kuanzia hivi sasa.Leo wajerumani wamekabidhi shares 26% kwa serikali hivyo 100% GT iko kwa serikali ambapo balozi Ombeni Sefue alishuhudia hilo tukio.

Katibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara anasema muda wowote wanaweza kufanya trial run wanamalizia kurekebisha mifumo ya umeme, malighafi zipo za kutosha.

Chanzo: Channel Ten habari leo
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo.

Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre.

Sasa naona serikali ya CCM imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.

Bravoo Lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi

Lowasa wenu huyo huyo alishataka kujiuzia na aliekiokoa ni Mbunge wa Arusha Godbless Lema kupiga makelele na kumobilize wananchi kukilinda siku ya mnada. Ndo kilichokwamisha. National Milling alishajimilikisha na kumuweka MONABAN pale leo eti kawa malaika. Wabongo ni kiboko. Nadhani hata Lema atakuwa kachanganyikiwa japo ukanda unqjaribu kuwaunganisha hawa watu.
 
Mkuu unakosea, sema mfumo wa CCM nitatizo, hawana jipya.

Ungeweza kusema hivyo kipindi kileee..sasahivi ni mfumo wa Tz!
Mnashindwa kuelewa kuwa mfumo ni watu na sio mitambo au mashine!
Inatia kinyaa kuona kuwa eti ukiwachukua wala rushwa wote wa ccm wakienda chadema wanakuwa wasafi kwa kuwa ni mfumo tofauti.
Kama unadhani watakuwa tofauti..tuoneshe mfumo wa utendaji wa chadema au ukawa unavyotofautiana na ccm.
Hapa namaanisha katiba za vyama hivi zinatofautianaje na ni ipi bora kwa mahitaji ya nchi na wananchi.
Siongelei katiba ya nchi bali za vyama kwani hata aje nani ni lazima afuate katiba iliyopo sasa wakati anajaribu kuibadilisha kwa mujibu wa sheria!
ngazi za maamuzi ndani ya ccm vs chadema ni zipi zimekaa kwa maslahi ya wananchi??
Tuache ushabiki na badala yake tuweke maslahi ya Taifa mbele. Tusiwe mazuzu ambao hawajui wanataka nini!!
 
Lowasa wenu huyo huyo alishataka kujiuzia na aliekiokoa ni Mbunge wa Arusha Godbless Lema kupiga makelele na kumobilize wananchi kukilinda siku ya mnada. Ndo kilichokwamisha. National Milling alishajimilikisha na kumuweka MONABAN pale leo eti kawa malaika. Wabongo ni kiboko. Nadhani hata Lema atakuwa kachanganyikiwa japo ukanda unqjaribu kuwaunganisha hawa watu.[/QUOTe

Sasa tusipo unganishwa na ukanda tutaunganishwa na nini? Mbona wewe hujiiti mwarabu wakati tz kuna waraabu? Kama unajifanya umepoteza asili yako basi kweli wewe ni lofa kama alivyokuita mkapa
 
Mfumo ndio uliojipangia kuuza kila kitu cha su sasa hapo ni kila mwenye uwezo ajinunulie anachohitaji, kwani hata wengine waliokuwa juu walijiuzia mpk migodi. Hiyo ilikuwa "SADAKALAU"
 
yaani wameanza kutekeleza maagizo ya lowasa hata kabla hajaingia ikulu
 
Kiwanda kishaanza kuzalisha mataili.....serikali ilisema itakifunguaaa

Nchi ya vwonder

Ova
 
Hichi kiwanda sijui kina gundu gani.
 
Back
Top Bottom