leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,584
- 3,185
Baada ya uchaguzi nini kimetokea,sina ubishi CCM imejengwa kwenye misingi ya uongo. Sasa hivi wamekazana kujenga viwanda kwa mdomo,Kiwanda cha General Tyre kufunguliwa muda wowote kuanzia hivi sasa.Leo wajerumani wamekabidhi shares 26% kwa serikali hivyo 100% GT iko kwa serikali ambapo balozi Ombeni Sefue alishuhudia hilo tukio.
Katibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara anasema muda wowote wanaweza kufanya trial run wanamalizia kurekebisha mifumo ya umeme, malighafi zipo za kutosha.
Chanzo: Channel Ten habari leo