Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,288
- 5,762
Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia wachukue pale.nk
Bila kusahau soko la kawaida la secta binafsi; Hivi si tutakuwa tume serve mabilioni ya pesa kwa mwaka ikiwa ni pamoja na kuleta ajira ambazo pia zinakatwa kodi?
Pengine tukarejesha mtaji ndani ya miaka miwili au mitatu na kuanza kula faida. Nawaza tu!