Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,691
- 6,729
Na hili joto ndo upate kitimoto 🐖 ya kuoka, kachumbari utie mafuta kidogo toka jikoni alafu pata Kilimanjaro kubwa baridi 😁😁
Za kutoshakwahiyo huko ulipo wewe zinapatikana kwa wingi?
Yan duuKesho Public holiday, natamani bia zingepatikanaView attachment 3214827