Kiungo cha mwili wangu

Kiungo cha mwili wangu

Lord K

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
213
Reaction score
37
Hivi ukiambiwa utaje kiungo gani cha mwiliwako unachokipenda zaidi kuliko vingine na kwanini..jibu lako lingekuwa kiungo gani?
 
Nanilii..!, kwani
Imejenga nyumba,
Imenunua gari,
Imesomesha watoto,
Inaniliza..!,
Na nyingine nyingi ila malizia mwenyewe.
 
Macho kwa sabsbu huniwezesha kuona wadada waremboooo..........!:-*
 
Hivi ukiambiwa utaje kiungo gani cha mwiliwako unachokipenda zaidi kuliko vingine na kwanini..jibu lako lingekuwa kiungo gani?
Mifupa... Kwani ndo vinafanya unekane u binadamu kamili, kama tungekuwa hatuna mifupa tungekuwa kama Amoeba au funza tukitembea!:A S-heart-2:
 
pumbu kwani ni kiwanda cha uzalishaji
 
du great thinker
Eeh umeisoma... Vingine vyote haviwezi kuwa na maana kama huna mifupa ndugu. kwani mtu angekuwa kama kalimati hivi macho na hizo na nani hii zingekaaje? Tafakari....😛eace::drum::first:
 
Kumbuka sayansi ya darasa la tatu. Viuongo vyote hushirikiana. Hii ya kupenda inatengemea sana na lengo/kazi ya kiungo chenyewe. Ili uone lazima utapenda Jicho, na ili utembea lazima utapenda mguu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom