Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

Mwanamke anatengenezwa wewe ndyo utakayeamua Aishi vipi na wewe.Kama unataka kumwoa mwaga sera zako zote unataka muishi vipi kabla na baada ya kupata watoto ikiwemo majukumu.

Ukiona amekataa basi huyo Moja Moja Kwa Moja hakufai achana naye katafute mwanamke ambaye yupo tayari kufuata masharti Yako na wapo wengi tu mtaani wamejaa wapo tayari kufanya hata zaidi ya unayoyataka.

Wewe ndyo mwamuzi wa maisha yenu.Ukitaka kusikiliza hoja za mwanamke utagundua hazina msingi utafanya yote na hatakuja kuridhika.MWISHO WA SIKU UTAKUJA KUANZISHA UZI KAMA ZA YULE JAMAA

“Ameniambia niende Jimu nikatafute six pack ndyo niende kumuoa”
 
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;

* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi, hataki.

* Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakwambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia.

* Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakwambia wewe ni mwanaume suruali.

* Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi.

* ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack.

*ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela.

*Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume.

* Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene.

* Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga.

* Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe, sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui.

Yaani itakuwa kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi, yeye ananenepa wewe haunenepi.

NB: Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu!

Yani ni vurugu vurugu! Wanaume, hawa viumbe msiwasikilize kabisa, wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia.
Yani mnavotusingizia daah [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Tatzo la nguvu za kiume sizani kama linaweza kutibika kwa mtu alie na umri zaidi ya miaka 30

Ukiachana na matatizo ya kiafya kama kisukari yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume,ila wengi wao wenye afya njema ni uvivu wao tu.

Narudia tena kwa wanaume wengi wenye tatizo za nguvu za kiume ni wale wavivu na wabinafsi wasiojali wapenzi wao,kama mwanaume anamjali mpenzi wake lazima atajitahid kwa nguvu zote aweze kumpelekea moto ipasavyo mpenz wake

Maana kupeleka moto sio jambo rahisi inatakiwa mwanaume ajitoe kweli kweli
Sawa mkuu, lakini naanzaje kumwambia?? (Kwa hawa wanaotibika)
 
Mimi nawapiga shoo vizuri Kisha nawaambia hata hivo nafsi yangu kiukweli sikupendi, sioni cha kunishawishi Kama unaweza kunishawishi nikupende Anza sasa nijue. Ndio imeisha nawatesa hawa manyoka, akimaliza kulia namwambia nakudanganya nakupenda ila Kama huna true love nakuacha soon
Daaaah we mjamaa wewe
 
Sawa mkuu, lakini naanzaje kumwambia?? (Kwa hawa wanaotibika)
Fanya hv,mkiwa kwenye mnyanduo jidai kuwa unampenda sana na imetokea unakuwa na hamu nae sana,akimaliza cha kwanza baada ya nusu saa omba cha pili,akimaliza cha pili mkipumzika lisaa omba cha tatu kila siku fanya hvyo hata kama anashindwa we mlazimishe tu pia jitahid kumsaidia aweze kurudi mchezoni,ukiona anashindwa kabisa ebu mchomekee hilo swala la kutafuta tiba

Ila nimeandika haya yote lakin sjajua huyo jamaa tatzo lake lipoje,je anawah kumaliza round ya kwanza chini ya dk 7 na akimaliza cha kwanza hawez kuendelea tena na cha pili baadae?
 
Sorry niko nje ya mada lakini, hivi ni njia gani nzuri ya kumwambia mwanaume juu ya kumsaidia tatizo alilonalo (mf nguvu za kiume)
Mwambie ale tangawizi na kitunguuswaumu Ili kuzuia ukuaji wa tezi dume , hapo umemaliza.
Kansa ni noma na prostate enlargement pia ni noma.
Tangawizi iwe na urefu wa inchi 2 au gramu 10-15.
Vitunguu swaumu tatu tu.
Ale baada ya kula kuzuia mvurugiko wa tumbo.
 
Sifa za mwanaume ni pesa na tango trust me hapo mwanamke hachomoki
 
Unalalamika bure tu....pesa na tango ndo habari ya mjinj
 
Mwambie ale tangawizi na kitunguuswaumu Ili kuzuia ukuaji wa tezi dume , hapo umemaliza.
Kansa ni noma na prostate enlargement pia ni noma.
Tangawizi iwe na urefu wa inchi 2 au gramu 10-15.
Vitunguu swaumu tatu tu.
Ale baada ya kula kuzuia mvurugiko wa tumbo.
Eti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya hv,mkiwa kwenye mnyanduo jidai kuwa unampenda sana na imetokea unakuwa na hamu nae sana,akimaliza cha kwanza baada ya nusu saa omba cha pili,akimaliza cha pili mkipumzika lisaa omba cha tatu kila siku fanya hvyo hata kama anashindwa we mlazimishe tu pia jitahid kumsaidia aweze kurudi mchezoni,ukiona anashindwa kabisa ebu mchomekee hilo swala la kutafuta tiba

Ila nimeandika haya yote lakin sjajua huyo jamaa tatzo lake lipoje,je anawah kumaliza round ya kwanza chini ya dk 7 na akimaliza cha kwanza hawez kuendelea tena na cha pili baadae?
Asante
 
Mwambie ale tangawizi na kitunguuswaumu Ili kuzuia ukuaji wa tezi dume , hapo umemaliza.
Kansa ni noma na prostate enlargement pia ni noma.
Tangawizi iwe na urefu wa inchi 2 au gramu 10-15.
Vitunguu swaumu tatu tu.
Ale baada ya kula kuzuia mvurugiko wa tumbo.
Asante mkuu
 
Kipindi naanza biashara ,nilikua na mwanamke akajifanya wife material et natumia pesa nyingi kwenye bando ndio maana sifanikiwi, nikaacha weka bando nikawa simtafuti mara oooh siku hizi simpendi kwa sababu simtafuti mara kwa mara kama zaman [emoji847][emoji847]
 
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;

* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi, hataki.

* Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakwambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia.

* Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakwambia wewe ni mwanaume suruali.

* Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi.

* ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack.

*ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela.

*Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume.

* Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene.

* Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga.

* Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe, sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui.

Yaani itakuwa kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi, yeye ananenepa wewe haunenepi.

NB: Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu!

Yani ni vurugu vurugu! Wanaume, hawa viumbe msiwasikilize kabisa, wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia.
Ukiwa huna pesa halafu una six packs, mwanamke anakuona umekondeana mpaka mbavu zimechomozea tumboni.
 
Back
Top Bottom