Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

Kiukweli wanawake ni wavurugaji sana!

Nimecheka, acha tu, inabidi tuitishe kikao na maazimio ya pamoja kwa haya malalamiko...

Kwa kifupi mwanamke anataka kile ambacho huna, ni kuishi nao kwa akili tu.

Ukutaka kujua kuna Mungu ndo hapa, kila kanuni ya kuishi na mume au mke yaitaji usafi, hakuna mtu smart hapa.
Yaani tumia akili na fujo, au Vurugu. Ukiwa mstaarabu ndio shida zaidi.
 
Back
Top Bottom