Kiukweli sifurahishwi na harufu ya hii kitu

Wakuu,hamjambo.
From deep of my heart na bila kuathiri kifungu chochote cha katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huwa siipendi ile harufu ya asili ya ile kitu. yani huwa nahisi hadi kutapika sometimes.
Sijui nyie wenzangu huwa mnavutiwa nini hadi wengine mnafikia hatua ya kulamba kabisa ile kitu.
Kukifanyika reforms then tukapata tume huru na katiba mpya kila kitu kitakuwa Sawa na utaenjoy hiyo harufu ya mkeo.
 
Ni kawaida, kuna watu hawapendi, kuku, maziwa, asali etc.

Mfano mimi, harufu ya kitimoto, dio mzima akiwa bandani hii naweza vumilia, hainikeri sana, kupita sehemu wanayopika, huwa nahisi mpaka kichefuchefu.
Asali, ina kaharufu fulani kananishinda.
Maziwa ni mpaka niweke kahawa.
Mtindi niweke sukari nyingi saana, hivi hivi siuwezi.

Harufu ninayoipenda duniani ni ya BIBO, nikipita kwenye mkorosho nainjoi saana, japo tunda lenyewe halina maajabu.

Tukirudi kwenye mada yetu.
Harufu ya k, hainisumbui, japo hizo harufu hutofautiana mwanamke kwa mwanamke, ni kama jasho la mtu, wengi jasho lina utofauti.
Ila kale kaharufu ka papa safi, hakanisumbui hata kidogo.
Salam alykum imamu al masjid nuur
 
Wakuu,hamjambo.
From deep of my heart na bila kuathiri kifungu chochote cha katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huwa siipendi ile harufu ya asili ya ile kitu. yani huwa nahisi hadi kutapika sometimes.
Sijui nyie wenzangu huwa mnavutiwa nini hadi wengine mnafikia hatua ya kulamba kabisa ile kitu.
Lissu anawekwa gerezani sababu yenu kwa mambo ya No reforms no election halafu wewe asubuhi yote unawaza hayo😂😂
 
Sijawahi wazaga hata harufu aiseee sijui nakuaga bize na nini mimi 😂😂😂😂😂😂😂
 
Ni kawaida, kuna watu hawapendi, kuku, maziwa, asali etc.

Mfano mimi, harufu ya kitimoto, dio mzima akiwa bandani hii naweza vumilia, hainikeri sana, kupita sehemu wanayopika, huwa nahisi mpaka kichefuchefu.
Asali, ina kaharufu fulani kananishinda.
Maziwa ni mpaka niweke kahawa.
Mtindi niweke sukari nyingi saana, hivi hivi siuwezi.

Harufu ninayoipenda duniani ni ya BIBO, nikipita kwenye mkorosho nainjoi saana, japo tunda lenyewe halina maajabu.

Tukirudi kwenye mada yetu.
Harufu ya k, hainisumbui, japo hizo harufu hutofautiana mwanamke kwa mwanamke, ni kama jasho la mtu, wengi jasho lina utofauti.
Ila kale kaharufu ka papa safi, hakanisumbui hata kidogo.
Kwenye asali naungana na wewe kiufupi asali harufu yake huwa inanisimanga sana kwa utamu wake haikupaswa ininukie vile kwangu sijui why, upande wa papa pia ni kweli ina mwanamke na mwanamke. Wapo ambao papa si papa, wengine mchanganyiko wa vitunguu maji swaum kwa mbali yani ila hao wanavumilika kuna wale ni kama nyama mbichi ukiitoa kwenye friji huwa kikorogosho changu kikishatoa maziwa sirudii tena. All in all Mungu fundi
 
Kwa akili hizi sidhani kama No reform No election itafanikiwa ....asubuhi yote hiii
 
Back
Top Bottom