Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

the truecaller,
Hata mitaani kwenye taasisi ukionyesha unakomaa sana unaonekana unataka kuleta umagufuli.

Hii ni legacy kama anasoma akomae hadi mwisho ila achekeche mambo ili na Hali za wananchi masikini ziwe na unafuu
 
Kajitahidi,kafanya kazi kubwa sana, mambo mengine ni ya kibinadamu.Twende naye tena Octoba 2020
Sio tu twende naye bali wapinzani watuletee mtu angalau anakaribia viwango. Hatutaki kuchagua mtu eti Kwa sababu aliwahi kupigwa risasa (sympathy) au Kwa sababu anapenda kuwa Rais. Awe mtu siriasi mwenye kueleweka
 
Kweli kabisa.Urais siyo mchezo aise.
 
Aliona watu watamzoea ukali wake akatoa mshangao wa kumshamburia TL iliaendele kuongopwa na sasa kaongeza kinga nyingine ya kuogopwa ya kubambikizia watu kesi kisa wakienda kunyume na matakwa yake ya moyo wake
 
LA Lissu hatuna ushahidi wa kutoka chadema, haki za binadamu, US (CIA) , police Sasa Hilo hatuwezi kutumia tetesi kutuhumu.

LA kesi kama kweli ulaumiwe muhimili wa mahakama kushindwa kujisimamia. Au ufutwe uunganishwe Kwa serikali ili tupate uhalali kisheria kumpa Rais tuhuma za mahakamani
 
Lakini kwanini bado mtaani hali mbaya hakuna ajira zilizo na zisizorasmi bado zipo za kutosha watumishi bado wanalia na mishaara midogo bado huduma ya afya iko chini mpaka ukienda mochwari kuchukua maiti haurusiwi mpaka madeni yake ya kulazwa yalipwe ajabu ajabu kwa kweli
Ajira ni nyingi saaana kuliko nchi nyingi za kiafrika.
1. Walioajiriwa RAILWAY
2. Kujenga umeme Rufiji
3. Kujenga Daraja
4. Meli
4. Kazi shirika la ndege
5. Makao makuu Dodoma
6. Viwanda vipya pwani
6. Kazi za kujiajiri: tukitumia mfano wa Dar - kasi ya kuuza miwa, kasi ya kuuza madafu, kasi ya kuuza mihogo, nazi na karanga mbichi etc
Wewe kama huna kazi nitakushangaa!
 
Hana moto wowote jombaa huyo anabweka tuu. Mwizi kama wazi waliomtangulia?
Tenda ya kununua ndege ilitangazwa wapi? T 10% ya kununua ndege moja ni shilingi ngapi?
Alipora korosho za watu na kuzziacha kwenye maghala.wengine hawajalipwa mpaka leo. (Haki za watu/malipo yalicheleweshwa kwa kiburi cha mtawala)
Ameenda kujenga uwanja wa ndege kwao CHATO. Ile ile tenda ilitangazwa wapi? Aliipa kampuni ambayo anamahusiano nayo)
Unajiuliza mtu anayejiita mtetezi wa wanyonge anamfukuza CAG? Aliyemwambia tu 1.5 trillion haijulikani ilipo?
Hajaufanya uraisi kuwa taasisi badala yake ameufanya uwe MALI BINAFSI.
Mwaka wa tano huu wamefungwa mafisadi wangapi zaidi ya kuwasingizia case kina KABENDERA?
Mtuache!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni mashine ya hatari ,jukwaa limeshindwa kumfitinisha,kumogofya kumchonganisha,amebaki kuwa imara na bora zaidi kuliko watangulizi wake ambao jukwaa liliwahenyesha
Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana.

Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa.

Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke tuanze kupiga madili. Basi nikajua kumbe jamaa moto haujakata.

Hadi leo maofisini pakisikia Rais anakuja, kiwango cha hofu kama mtu atimizi wajibu kiko vilevile kama alivyoanza kazi.

Kiukweli tukubali au tukatae Rais Magufuli amekuja na suprise kubwa kwenye siasa na utumishi wa umma. Amefaulu kuanza na kumaliza kama alivyoanza bila kulegea wala kuchoka, wala kukompromise misimamo yake na style yake ya kuongoza.

Hii imenifundisha kitu, hata katika mambo madogo madogo na viuongozi vyetu huku mitaani. imenikumbusha yule Mtanzania aliyevunja rekodi ya mbio za masafa marefu kwa kuanza kwa kasi na kumaliza kwa kasi akiongoza huku wengine wakitegemea atakata pumzi njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na huo moto hali ya uchumi ukoje?... sometimes compromising sio ujinga bali ni hekima, akili na busara... Ni kama hili zakata la kina Kinana....

wajumbe wa kamati ya maadili wako zaidi ya 9. then leo wanatuonyesha picha yenye wajumbe 3 afu wanasema wazee hao wamenywea... infact so far Hawa wazee wamepata ushindi wa tatu bila....
 
Lakini kwanini bado mtaani hali mbaya hakuna ajira zilizo na zisizorasmi bado zipo za kutosha watumishi bado wanalia na mishaara midogo bado huduma ya afya iko chini mpaka ukienda mochwari kuchukua maiti haurusiwi mpaka madeni yake ya kulazwa yalipwe ajabu ajabu kwa kweli
Haya ni mambo ambayo kafeli yanayomgusa Mwananchi moja kwa moja.
Wamama wajawazito walipata bima ya Afya ya uzazi Ila sasa hakuna.
Waalimu walikuwa na Asilimia zote za kuajiriwa sasa Wana zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ni genius, wazungu wameona hakamatiki kwa kuleta maendeleo na 'kuwa mfano mbaya " kwa nchi nyingine za kiafrika na hivyo kuamua kumuujumu.
Wanatafuta njia ya kumkwamisha ili as iwe mfano kwa nchi nyingine za kiafrika na hivyo kuathiri maslahi ya wazungu kwa kiasi kikubwa.
 
Utumbo wa mende
 
Back
Top Bottom