Kiukweli mnashangaza

Kiukweli mnashangaza

Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu

IMG_20180320_174341.jpg
 
Huo muda tunaotoa wapi wakati lengo ni moja uliwe na maisha yaendelee wewe subiri mwehu wa kuwekeza muda na pesa kibwege ivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom