Kiukweli mnashangaza

Kiukweli mnashangaza

Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
Zama zimebadilika ndugu, yaani nitoke tu vupuu nakuanza kulisha mali za watu? Haya zamani hayukufanya hivyo sembuse leo? Japo si vizuri kuanza kuuliza eti unaboyfriend? Swali hili linaboa, mwanamke akishaiva atasema mwenyewehata bila.kuulizwa.
 
bora"" akwambie hivyo ""itakuwa nifuu""ndio kwanza"" ataanza "kuwa hadithia" wenzake kuwa amepata" danga "linajipendekeza "" so ameona amchune tu""
Amepata Buzi...hahahaaa wanawake bwana, eti analichuna huku na yeye anachunwa.
 
Kwanza amekuheshimu na amejiheshimu na mtu wa hivyo ni mstaarabu. Hapendi kuingilia mahusiano ya watu na anauliza ili ajue anaingia kwa gear gani.

Na ni mjanja pia.

Nani awekeze sehemu ambayo kuna mtu tayari?

Its not that complicated bila hiyo sasa tutaonekana wanawake wote tunatembea na placards za 'OMBA OMBA'.
Naanza kukupenda
 
Asante kwa maneno yako yaukarimu na utu , Ningependa nipate chakula cha usiku naww maana kuna mambo mengi yakipekee nimeyagundua kwako na ninahitaji kuyadhihirisha.
 
Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
Huo mtego. Jibu lako litanijulisha nahitaji juhudi gani kukunasa.
 
Yani umtoe out mazagazaga kibao alafu ukitupia verse akuambie Ana boyfriend Yani Kama n mechi tayari umefungwa raundi ya kwanza tena nyumbani sasa unaenda kucheza ugenini pata picha game itakavokuwa gumu alafu ukicheki umetoboka sio haba

Ebana me najihakikishia kabisa kabla sijajilaumu huko baadae

Alafu hizo zilikuwa za zamani mambo simple n kumpa sound mapema then akikubali ujue yupo single akikataa double hapo ndo uanze na mbinu mbadala
 
boyfrend wako ananihusu nini??....mie nataka mzigo tuu......then kila mtu kivyake......
 
hivi huyuu Asprin anawake wangapi humu khaa. yani kila sehemu napotaka kuteka colon naskia kuna @Aspirin aaargh tutapambana hivo hivo ila cha muhimu na kikubwa ni kuwa highest shareholder basi
Asprin anao wawili tuu
 
Mambo yangu makuu kuuuliza mwanamke jina, anapatikana wapi, anapenda nini over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom