Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Wanabodi,

Kufuatia mimi mwana jf mwenzenu umri wangu umesonga songa, nimefikia level ya kustaafu, hivyo nakuwa sina tena zile mada moto moto au maswali magumu magumu kama enzi zile kijana nikiendesha kipindi cha Kiti Moto.

Kufuatia neno "ukubwa dawa", mimi sasa ni mtu mzima hivyo napandisha mabandiko ya dawa kama bandiko hili.

Leo naomba kutoa somo kuhusu mavazi fulani fulani, jee wajua mavazi yanazungumza?. Jee wajua dress code ni kiashiria cha the state of mind ya mvaaji na action anayoweza kufanya?.


Mfano mtu akikukaribisha kwake ukaenda the way utakavyomkuta amevaa utajua amekuitia nini na ni nini kitafuatia.

Wenzetu wazungu wana dress code kabisa ya matukio mbalimbali, kwa matukio serious wana vaa formal dress, yaani kuiambia, na kwa matukio ya kawaida, wanavaa kawaida, yaani casual but smart, sisi wabongo hatuna any specific dress code kwa matukio serious na yale ya kawaida.

Pia aina ya mavazi ni kwa maeneo au matukio fulani, mfano ukienda beach, unavaa beach ware, ukienda church unavaa vazi la heshima na ukitoka out kama ni first date out, usually wadada they dress to kill!.

Leo nimemuona Mama kavaa Combat, kwa jinsi hiyo combat ilivyo mtoa na kumpendezea, combat ile imeongea, only wenye jicho la tatu ndio wanaweza kusikia hiyo dress code inaongea nini.
View attachment 2011474
Wajameni macho hayafanani, kwa vile hakuna taarifa zozote za mtu kuwa mjeshi kabla, hivyo wakiona picha hii ya Rais Mama Samia, wanao wanaona ni mtu aliyevaa sare za jeshi, lakini sisi wenye jicho la tatu, tunamuona mtu ambaye ni mjeshi kabisa, ila hatukumjua, kuwa ni mjeshi mpaka alipovaa sare ya jeshi ndio tumebaini ni mjeshi kabisa!, hivyo wale waliopanga kufanya ile michezo yenu.... kama unaweza kumletea mchezo mjeshi...endeleeni ila msilalamike kuwa hamkujua, mlidhani ni sare tuu za jeshi!.

Kwa wale wenzangu na mimi wasio na uwezo wa kuisikia sauti ya mavazi fulani, this is a very loud and clear she is a very serious person, she is no nonsense lady, sio mtu wa kuletea mchezo mchezo, hivyo huu ni ujumbe mzito kwa wote wanaopanga kuleta au kufanya mambo ya mchezo mchezo, they better think twice, kama hapo mwanzo iliyokuwa "kazi tuu" naona relaxation mood ya watu ku relax na kuanza kuleta tena ile michezo michezo..., hii dress code ya leo inaniambia ile slogan ya "hapa kazi tuu", inaendelea kwa "kazi iendelee"

Paskali
UDC unatafutwa kwa nguvu
 
Umeanza tena habari ya 'magazeti'?. Safari hii utafanikiwa?

Nimesoma kichwa cha habari na kuona picha tu basi! Utanisamehe kama yamo mengine ya ziada.
 
Wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine!! Tuache ushamba wa kutishaaana kwamba watakupiga au wanapigaaa hiyo huwafanya nawao wahisi wanatakiwa kuogopwa ama wanahaki kupigapiga!!
 
.
IMG_20201018_091547.jpg
 
Kuna kesi ya Mbowe nilitegemea ushushe nondo kama mwanasheria na mwandishi wa habari mwandamizi lakini siku hizi huna tofauti na Kibajaji au Ndugai
Mkuu Babati , kwa vile jf ni user generated forum, kila mtu yuko free kuzungumzia chochote anachoona kinafaa, na japo ni kweli kesi ya Mbowe ndio habari kuu ya mujini kwa sasa, sio lazima kila mtu aizungumzie kesi ya Mbowe. Pili ni mwanasheria in a sense that nimesoma sheria, but I've never practiced hivyo sina uwezo huo wa ulioutegemea wa kushusha nondo kama mwanasheria, mimi ni mwandishi wa habari tuu wa kujitegemea na sio mwanasheria as mwanasheria.
P
 
Soma na uelewe
Nimesoma nimekuelewa sasa nakuuliza.

Kwann amri jeshi mkuu kuvaa nguo za jeshi ni maigizo na mambo ya hovyo?

Kuna mambo mangapi yamefanywa na maraisi wengine JK na Mkapa hawajayafanya kwann hili la kuvaa nguo iwe reference kwa hao wawili?

Natabiri huna majibu yenye maana na utademka na kukatika tu. Prove me wrong.
 
Upo serious kweli?
Cha ajabu ni nini?
Huu ni upuuzi zaidi ya upuuzi
Utu uzima wako hustahili au nawe bado ni kijana
Nchi ina maajabu hii sana..
Huu ni utoto sasa
Mkuu Pakawa , kuna kitu kinaitwa kutazama kitu kwa different perspectives, wengi uwezo wenu ni kuona sare tuu za jeshi, sisi wenye eyes to details jicho letu linaona beyond mavazi, hivyo unapoleta hoja zinazohitaji wenye uwezo to read in between the lines, na wengi humu ni vilaza tuu, then vilaza hawa watatoka kapa na ndio kama hivi kuambiwa hili ni bandiko la utoto!. Look beyond mavazi, mavazi yanazungumza, lazima uwe na jicho la kuona visivyo onekana na sikio la kusikia visivyo tamkwa. Jee wewe Mkuu Pakawa by your look na michango yako humu, unaonekana sio kilaza, how can you miss the point usijue nazungumzia nini kwenye bandiko hili?.
P
 
Back
Top Bottom