KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,396
- 5,912
Ukiona unamemfahamu mwanamke anataka nini au hataki nini jua kwamba unakaribia kufa.
Kikubwa shukru, samehe, usimfuatilie angalau unaweza rukiwa na vumbi la furaha kidogo!
Kikubwa shukru, samehe, usimfuatilie angalau unaweza rukiwa na vumbi la furaha kidogo!