Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Siasa wewe,muziki wewe,wabongo bana,ili mradi uongee tu!
 
tuambie kwa mtazamo wako nani ali perfom vizuri kwenye zile tuzo maana naona una mzungumiza Diamond tuu ??

Btw ameitwa tena aka perfom [HASHTAG]#AFCON[/HASHTAG]
sasa ww unae ona ana perfom vibaya wenzako ndo wana zidi kumuhitaji..
 
Nimegundua hali zetu zinazidi kuwa ngumu,haturefuki na vibamia vinaongezeka kwa ugonjwa wa chuki na na roho mbaya tulonazo!!!
 
Nimeangalia video zake youtube alizorusha za jana, kwa kweli umezidisha chumvi yako kutaka tu kumsema.
 
Haaaaah hili ndio tatizo kuu kwa Maendeleo ya Taifa hili.
Hivi unaufahamu mtandao wa Rotten Tomato na kazi zake?

Acheni ushabiki wa ajabu watu wanapotoa mawazo constructive, hizo team zenu zisizo taka kukosolewa ziishie INSTAGRAM.
If you want to offer the constructive advice then use a constructive language otherwise be prepared to receive the rhetoric answer.
 
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Mkuu nikupe hongera umejitahidi kuchambua "kwa uwezo wako" ila jua kwamba umechemka mno.
1. Hadi waandaaji wa ile shuguli wamempa nafasi ya kuperfom wamemuona yeye ni ktk wale walio bora.

2. Kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi ya bora ata perfom siku ya ufunguzi wa AFCON Gabon.

3.Hakuna msanii yeyote kutoka E A anayemfikia yeye kwa kufanya shoo nyingi nje ya TZ/Africa na Duniani kwa ujumla wake zaidi kuanzia mwaka 2014,2015,na mwaka jana.(KUMBUKA PROMOTA AKUPI SHOO KAMA HUITAJIKI NA WATU AU HUJUI KUPAFOM)

4. Hakuna kwa E.A msanii anayeweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja,ama agande kama jiti au acheze bila kuimba,ila kwa MOND anaweza hilo,JAPO ANATAKIWA AJITAHIDI ZAIDI.
 
Nani anaweza kukimbia uku akiongea? Kama unaweza kukimbia na kuongea wakati mmoja,utakua sahihi kumkosoa Diamond.
Ni kazi ngumu sana kuimba na kucheza kwa pamoja,
Kama vipi aimbe zaidi miuno akate kwa mbaali ili pumzi isikate kama ilivyomkuta kwa mara ya pili hii sasa.

Nadhani show hii na ya MTV mama zimekua rahisi kugundulika kwakuwa zinarushwa live tofauti na zile video zinazowekwa kwenye you tube na team yake.
 
Ndiyo maana iliwekwa cd bado na hapo hajaelewa. Endeleeni na hivyo hivyo watu wanapiga hela nyie mnabaki kusema mweupe
 
Hata hivo sku hizi ka improve zamani ilikuwa worse.
Siyo rahis kuimba na kucheza live we jamaa unless hujawahi imba.

Tafuta show za lady gaga alizo imba na kucheza live uone ni mbaya, na mostly wenzetu huwa wana hakikisha aki imba na kucheza ni 35% tuu ya wimbo ndio ataimba live otherwise cd itafajya kazi yake.

*unakumbuka fiesta wasanii waliimba live tu bila kucheza lakini ilibidi irudshwe CD, sio rahisi guys kama mnavo fikiri, though nakubali diamond anahitaji mazoez zaidi
Huelewi chochote kuhusu live performance ndugu....
nataman nkueleweshe lkn sjui ata nianzie ap...
 
Back
Top Bottom