Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
ok next time unataka nani mzitona mweusi aende? sio kulalama tu toa solution
 
Tupe tofauti hiyo mkuu(usiniambie ni Google)
Kweli tofaut mwanamuziki huwa ni kipaji na msanii huwa ni jitiada japo kwa dunia ya sasa jitiada ndio inayoitajika unaweza ukawa na kipaji ukawaboya sio tu kwenye mziki hata kwenye mambo mengine kwa mfano mpira wa miguu kuna watu kama lampad, roony, cr 7, hao wote ni jitiada zao bila kuna wakina Nani, balotel, Hinyi ni vipaj ila ovyo kabisa
 
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
wakija team yake mapovu yatatoka
 
Niliitazama show yake ni kweli ila pia nahisi tafrija yenyewe mbona akiwa katika show za changanyikeni anafanya vizuri? Nadhani ile sehemu inawafaa sana akina femi ikuti,
 
Sija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Yeah... Aangalie wakali wa steji Kama kina Fally ipupa...
Anaweza akaibaiba maujuzi..
 
Wenye timu zao wakija hapa hapatoshi Shabiki madanzi Niki mbishi voice
 
Nani anaweza kukimbia uku akiongea? Kama unaweza kukimbia na kuongea wakati mmoja,utakua sahihi kumkosoa Diamond.
Nilitaka Kutochangia Chochote, Ila Hii Comment Yako Imenifanya Nikomenti Kidogo.

- Tena Siyo Kuongea Na Kuimba Tu, Waambie Wakimbie Au Kurukaruka Huku Wakiongea Na Sauti Ibaki Ile Ile.

- Hapa Tanzania Kuna Watu Huwa Wanamsifu Christian Bella Na Alikiba Kwamba Wanauwezo Wa Kuimba Live Sauti Bila Kubadilika.Lakini Ukweli Ni Kwamba Hawawezi Kuimba Bila Kuhema Kama Nyimbo Zenyewe Ni Pop ( Mfano Kiba ~ Cheketua, Coke Studio ) Alihema Na Sauti Ikawa Mbovu.

- Fiesta Wasanii Wote Waliimba Live, Sauti Zao Hazikuwa Na Ubora Na Zilikuwa Za Chini Kama Wananong'ona. In Short Diamond Binafsi Naona Anajitahidi NA Ana Improve .

- Uimbaji Wa Live Band Sio Wa Kitoto Hususani Nyimbo Za Pop, Mtu Kama Chris Brown Huwezi Kutegemea Aimbe Live Na Sauti Ile Ile Huku Akiruka Yale Masarakasi Yake
 
Nachoshindwa kuelewa kwamba huyu mtu kila siku mnamsema hivyo hivyo ila anazidi kupasua anga anafika na kufanya shows sehemu ambazo haijawah tokea msanii yoyot wa tz kama sio afrika mashariki sasa hao wanaomuita kwenye show kwamba hawajui msanii gani mzuri kwenye show au vipi maana kwa uelewa wangu mdogo wa performance namuona Diamond anawazidi wengi tu kibongobongo Kama sio wote! Ila nahisi mtoa uzi hujakamilisha uzi wako mwishoni ungemalizia tu bora angeenda kiba kuliko diamond!

Mtu aliyeshindwa kuperform Dodoma tu hapo ataweza kweli kule kwenye audience ya watu wazito kama ya tuzo za mchezaj bora wa Africa!
Acha nilale mie
 
Rule no: 01
Mind your own business
Rules no: 02
Believe in your self
Rule no: 03
Don't forget rule no:01

Teh teh teh teh teh.....
 
Huyo msami simjui ntamfuatilia
Lakin wasanii wengi wao hufanya
lip syncing kama wanaperform.
Yaani hiyo ipo Marekan hadi China
95% ya wasanii kuimba live na kucheza ni tabu kwao
Mtafute msami hutajutia Mb zako
 
Sija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Michael Jackson huyu mtu sijawahi ona duniani na kuja kutokea kama yeye sijui ni lini sijaona
 
Wewe mtoa mada uliangalia Ile show ya jangwani Seabreeze?? Km bado kaiangalie kwanza, hizo show za tuzo huwa anakoseaga sijui kwanini ani, ila ukimkuta show za kitaani utampenda mbona
 
Michael Jackson huyu mtu sijawahi ona duniani na kuja kutokea kama yeye sijui ni lini sijaona
Hahaha
Huyu alikuwa ndio king of pop
Jamaa alikuwa ana kila tabia ya performer mzuri
The greatest ever
 
Bunafsi naona labda ni aina ya show! sio zile zetu za mikono juu....mikono juuu twende hivi .
..
.sijui nini.Ila kimtindo anajitahidi sana
 
Angalau aliitwa!wewe lini tuone ulivyo gado?
Sio kila mtu anayekosoa ana chuki sometimes wanampenda na wanataka ajirekebisha mtu usiyekubali ushauri wala kukosolewa ni tatizo ndio maana unaona Tanzania kwa sasa tunatatizo ni kwa sababu jamaa ukimkosoa unakoma.
 
Back
Top Bottom