CCM YENYEWE ILIWAHI KUSEMA KUNA MAWAZIRI MIZIGOWatanzania bwana hata angeshuka malaika awaongoze mtalaaumu tu.kila kiongozi hawezi kazi daaaaa
Anazurula tu hana jipyaAnazurula Tu
Ni kama vile na wewe hujielewi, nani kasema asimame barabarani?Yaani waziri ulitaka akakae mijiani ndio uone anafanya kazi? Kwani yy alisomea trafiki? Ujue wizara ile ina magereza so awe gerezani kujua wanasimamiwaje wizara ina uhamiaji so awe mipakani kusimamia waingiaji haramu wizara ile ina hiyo police iliyogawanywa idara kadhaa
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Mawaziri mizigo ni wa kutimuaAkitumbuliwa mtasema mama anafukuza walioteuliwa na JPM
Binafsi ningependa malori yasafiri usiku ili gari nyingine zisafiri mchana
Malori ni chanzo Kijuu cha ajali
Chanzo kikubwa cha ajali ni barabara zetu ni mbovu nyingi zimejengwa chini ya kiwangoMalori ni chanzo kikubwa.
Ukweli usioongelewa.
Yaani waziri ulitaka akakae mijiani ndio uone anafanya kazi? Kwani yy alisomea trafiki? Ujue wizara ile ina magereza so awe gerezani kujua wanasimamiwaje wizara ina uhamiaji so awe mipakani kusimamia waingiaji haramu wizara ile ina hiyo police iliyogawanywa idara kadhaa
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ukijumlisha na malori inakuwa hatari tupuChanzo kikubwa cha ajali ni barabara zetu ni mbovu nyingi zimejengwa chini ya kiwango
Nadhani mabasi ndo chanzo kikuu cha ajali kwa sababu ya mwendokasiBinafsi ningependa malori yasafiri usiku ili gari nyingine zisafiri mchana
Malori ni chanzo Kijuu cha ajali