Waziri Mkuu Majaliwa: Matukio ya ajali yapungua

Takwimu za barabara kuu mbili ndio mnajisifia ingia bara bara ya uvinza Mpanda hadi Tabora Rungwe Mbea mpaka Tabora.
 
Takwimu za barabara kuu mbili ndio mnajisifia ingia bara bara ya uvinza Mpanda hadi Tabora RungweMbea mpaka Tabora.
Hakuna Trafiki huko?Ajali zote huwa zinaripotiwa polisi ni chache sana ambazo haziendi polisi
Hujawahi kupita wewe kama hujui tuaulize tukuambie miji yenye trafikipolisi na vituo vya polisi kwa ujumla kuna sehemu huyo ina korongo liiittwalo "kaburi wazi"magari hutumbumbukia na mizigo yao halafu unakuja kubanile pua hapa.
 
Wewe posti ili mkono uende kinywani ila sku LISSU THE GREAT mwanadamu wa kwanza kupigwa risasi nyingi na ku survive.
Akikalia kiti cha Ikulu ndo utakuwa wa kwa kwanza naunga mkono juhudi za Rairi Tundu Lissu
 
Matukio ya ajali za bararani yamepungua kutoka ajali 9856 mwaka 2016, ajali 5578 mwaka 2017 na kufikia ajali 3209 katika kipindi cha Januari hadi Oktoba 2018.

Vipi uwiano kati ya magari ya serikali na yale ya binafsi
 
Takwimu za barabara kuu mbili ndio mnajisifia ingia bara bara ya uvinza Mpanda hadi Tabora RungweMbea mpaka Tabora.

Hujawahi kupita wewe kama hujui tuaulize tukuambie miji yenye trafikipolisi na vituo vya polisi kwa ujumla kuna sehemu huyo ina korongo liiittwalo "kaburi wazi"magari hutumbumbukia na mizigo yao halafu unakuja kubanile pua hapa.
ww utakuwa wa uvinza kweli maana huu ubishi unapatikana kwa waha tu,ushaambiwa ajali zote huripotiwa hata ikitokea kiomboi huko bado unabisha,una uhakika kwny hizo takwimu ajali za uvinza ni excluded?????
 
Wewe uhutu wako mbon nauona kwa kuitetea serikali ya kihutu
 
hahahahahahaaaaaa,yaani bora babaako angekuwa hata CHAPUTA kuliko kuzaa toto popoma (in gentamycine's voice) Kama ww,ushaambiwa kuwa PM ametoa ripot Kama ilivyoripotiwa na vyombo vyenye dhamana bado unataka kutuaminisha kuwa ajali za uvinza sjui mbeya hazjaripotiwa,hela alotumia babaako kukupeleka shule bora angenunua ng'ombe kuliko hii fedheha unayompatia
 
Umemquote mhutu mwenzako ambaye yuko Gitarama anafyonza Rugwagwa
 
Hili halihutaji hata data kulithibitisha hali inaonekana kabisa ajali zimepungua; ni jambo la kumshukuru Mungu na pia kuipongeza serikali kwa kusimamia vyema sheria za barabarani.
 
hahahahahahaaaaaa,yaani bora babaako angekuwa hata CHAPUTA kuliko kuzaa toto popoma (in gentamycine's voice) Kama ww,ushaambiwa kuwa PM ametoa ripot Kama ilivyoripotiwa na vyombo vyenye dhamana bado unataka kutuaminisha kuwa ajali za uvinza sjui mbeya hazjaripotiwa,hela alotumia babaako kukupeleka shule bora angenunua ng'ombe kuliko hii fedheha unayompatia
Hawa huwa wanafananishwa na wale wavukao mto mara
 
Back
Top Bottom