Kiubinadamu hapa nifanyeje

Kiubinadamu hapa nifanyeje

yaonekana wewe ni bini na yeye ni mtu mzima,,,,,
mkirimie peni tamu kwa kumpa sex ya maana.....kata mauno vizuri mkojoleshe ashibe then muambie nd zawadi yake
 
Binafsi sikushauri ujirahisi kwa target ya kumvulia chyupi labda kama yy ana kila dalili ya kukutaka. Kuna member kashauri umnunulie saa fanya hivyo
 
Habari za wakati huu wakuu
nina swala moja linanitatiza kidogo kuna jamaa mmoja ni rafiki kikazi huwa tunashirikiana michongo flani hapa town ni baba mwenye familia anajitambua ananipenda kama rafiki yake na ni mtu wa kuipenda familia yake sana

Sasa kuna kamchongo kakupata pesa kanifanyia (watoto wa mjini tunasema dili la pesa) hatimaye mchongo umekubali sasa natamani nifanye kitu au nimpe kijizawadi cha kumshukuru

Kwa mtu kama huyu naweza kumpa kizawadi gani au kufanya nini ajue nimeaprisiet sapoti yake au asante tu inatosha.
Nb. ni mtu na pesa zake hana shida

Msaada pls
Kama huna ushaur siyo lazma ucoment

Get his best photo, nunua very good and expensive frame, weka mpatie. Najua wake wengi huwa wanasahau hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom