Jinsia yako kwanza!!!Ukumbuke huyu ni mtu ninayemweshim so zawadi pia iendane na heshima yangu kwake na familia yake
asante kwa ushauriUjinga wa baadhi ya wanaume ukimnunulia zawadi anaweza kuhisi ndo unamtaka kama yupo jf utakutana na uzi umeshiba tu akielezea zawadi na kuomba ushauri akufanyaje.
Sema "Ahsante" kiuanaume inatosha. Ila akihitaji msaada usiwe mkatili
Ps. Sio msaada wa kingono.
Hakuna zawadi nzuri hapo ni kukaa mbali na ndoa ya watu unavyoendelea kuendeleza mahusiano yenu haramu ni sawa na kutembea na toothpick kwenye mdomo mwisho ni kuitafuna tu
Hakuna zawadi nzuri hapo ni kukaa mbali na ndoa ya watu unavyoendelea kuendeleza mahusiano yenu haramu ni sawa na kutembea na toothpick kwenye mdomo mwisho ni kuitafuna tu
Kama hii![emoji116]Mnunulie saa ya maana!