Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Cha kwanza katika kutii ni kile ambacho mwenzio hawezi kupata kwingine isipokuwa kwa mwenzie nacho ni uchi.
Kama ni msosi anaweza kupika nguo anaweza kufua kwa ujumla kila kitu Kidume anaweza kufanya bila utii wa Mdada isipokuwa uchi lazima akutii ndipo uupate, Waweza kuupata bila utii lakini yanini sasa ndio ugomvi na kuachana.
Na kama utii upo akikueleza sababu za kiutii mnaelewana tu sio lazima mdu.

Yeah Kyaiyembe uko sahihi kufanyana au kutofanyana yategemea mazingira.............wasichojua mnaweza kufanyana bado ukaona utii wake siyo wa kweli pengine anatoa hongo ili umfanyie kitu fulani kwa hiyo hapo hakuna kumpa penzi la kweli ila inakuwa kama ni aina fulani ya biashara kuwa inaendelea............Purple inabidi utafakari nyanja zote.........
 
Last edited by a moderator:
Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka.
Una maana kuwa hayuko sawa au?.
Nilivyokuelewa mimi ni kuwa kama hakupata utii wa mhusika akashindwa kujizuia na akatumia mabavu kupata uchi hafai, na hzimtoshi.
 
weweee navokutii siwezi kutoa uchi wangu kwa mwingine hapa jeans nimefunga na kofuli dear

Smile utawatii wangapi hata nami ulinambia unanitii sana.......which is which?
 
Last edited by a moderator:
Una maana kuwa hayuko sawa au?.
Nilivyokuelewa mimi ni kuwa kama hakupata utii wa mhusika akashindwa kujizuia na akatumia mabavu kupata uchi hafai, na hzimtoshi.

Kyaiyembe..............Tiger bado anashindwa kutofautisha utii na shuruti
 
Last edited by a moderator:
Yani mi ndo sijaelewa kabisa ningekua chuo hii ingekua disco light kabisa!
 
Mmnh!
Nimechanganyikiwa, UTII.
So if l do everything u tell me just like a robot then l make a very good wife eeh?

Kuna neno lingine umetumia KUTHAMINIWA; that one l can buy it. Na hii ni kwa wote, kwani hata sisi tunahitaji kuthaminiwa, kujaliwa na si UCHI tu.

Hivi total submission ndio utii? Na utii ni kama wa Papacy na Roman Catholic Priestdom? Au ni wa kiwango gani?

Yaani sielewi kitu kabisa! Rutashubanyuma.
 
Dah dada pole sana tofautisha utii na utumwa!
Kwa kidume mwenye akili hawezi kufanya hivyo, akifanya hivyo anakushurutisha badala ya kupata utii wako.
Utii sio kutenda kila unachoambiwa mengine waweza ambiwa ili kuona maamuzi yako yakoje.
Kwa ujumla utii ni ndugu wa busara.
 
Mmnh!
Nimechanganyikiwa, UTII.
So if l do everything u tell me just like a robot then l make a very good wife eeh?

Kuna neno lingine umetumia KUTHAMINIWA; that one l can buy it. Na hii ni kwa wote, kwani hata sisi tunahitaji kuthaminiwa, kujaliwa na si UCHI tu.

Hivi total submission ndio utii? Na utii ni kama wa Papacy na Roman Catholic Priestdom? Au ni wa kiwango gani?

Yaani sielewi kitu kabisa! Rutashubanyuma.

Kaunga ulivyobarikiwa na jana tu nikakuwekea kile kifungu ulichokihitaji cha Neno la Muumba na hata shukrani sikupewa..................siamaini kama huelewi au kama hutaki na hukubaliana na kumtii mumewe ili aweze kukupenda..........aone ya kuwa yeye unamkubali kuna ugumu gani khapo wa kuelewa?
 
Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh

[MENTION]Purple [/MENTION]siyo keli mbona Kyaiyembe kafafanua vizuri tu labda hukubaliani n akhoja zetu ilo ni jingine lakini kuwa hukuelewa siyo kweli.............usiwe kama Kaunga ambaye kama hakubaliani na hoja hudai hajaelewa ili kukwepa kuwajibika..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom