Wanamme wako tofauti sana na wanawake
Mwanamme anatizama mwili, physical things, tayari anamvua na nguo hapo hapo wakati wanasalimiana
Tayari anawaza kugema asali. Ndo maana utaona sifa anazotoa mwanamme ni napenda macho yako, lips, shape n.k
Mwanamke anamtizama mwanamme kwa undani (inside things-sijui ni sahihi nikisema tabia/vijisifa)
Ndio maana comment za wanawake utakuwa 'wewe ni gentleman' n.k
Ni mara chache mnakutana mara ya kwanza mwanamke anakuambia uko handsome.
Mwanamme anataka VVVVVV
hahaha ruta umewaza nn? mm sifahamu kiu ya mwanamme kama n utii wa binti ,mbona kuna wanaume wanapelekeshwa na wanawake humu na bado wana wang'ang'ania , mm nadhani kiu yao n muonekano na mvuto wa mwanamke alivyo kama na quality gani na aki walk nae mitaan watu watamsifia una chombo ,na ilo la uchi sijui
Utii we acha tu, sababu ya utii unaweza kuona anapelekeshwa kumbe yeye analipa fadhira kwa waifu wake mtiifu kisawasawa.hahaha ruta umewaza nn? mm sifahamu kiu ya mwanamme kama n utii wa binti ,mbona kuna wanaume wanapelekeshwa na wanawake humu na bado wana wang'ang'ania , mm nadhani kiu yao n muonekano na mvuto wa mwanamke alivyo kama na quality gani na aki walk nae mitaan watu watamsifia una chombo ,na ilo la uchi sijui
Rutashubanyuma:kama kweli ni utii na wale wanaofata mabint kule corner bar hao wanafataga utii?
[MENTION]"Zidumu fikra za mwenyekiti"
lolyz.................mwanaumme anataka akubalike hata kama ni changu doa anamfukuzia..............na kukubalika ndiyo utii wenyewe kwamba anachotaka anatimiziwa......................kwa hiyo bakora zikicharazwa basi yeye huondoka kafurahia kuwa kumbe fulani anamkubali na ndiyo maana ametii kiu yake ya kuheshimika na kukubalika...........
@lolyz my dada, kuna exception wa wanaokosa maadili (Na wengine ambao hawapati confidence toka kwa wake zao na hudhani conquring many women kutawaletea heshima).Rutashubanyuma:kama kweli ni utii na wale wanaofata mabint kule corner bar hao wanafataga utii?
lolyz my dada, kuna exception wa wanaokosa maadili (Na wengine ambao hawapati confidence toka kwa wake zao na hudhani conquring many women kutawaletea heshima).
Ila ukijisubmit na kujicomit kwa mmeo hata kama atatoka nje ya ndoa uhusiano wa nje hautaota mizizi kamwe kwa sababu mizizi yake ilishaota nyumbani siku nyingi. (Don't you just love it when he comes back because no woman could give him what you gave him?)
No man with right mind will leave gold at home and chase after copper, however much that copper glitters. At least when he goes he will come back- where your treasure is there your heart will be. Trust me on that!
Mkuu unafurahisha kweli.
Kwahiyo mtu mzima wewe ukiamua "kubaka" tukupongeze kwakuwa unataka utii, ha haaa, na ile mijamaa mingine inayokula wototo wao kumbe utii ndo shida yao enh?
Mkuu unapofanya tafiti usisahau hata vichaa ni wanaume sasa sijui nao shida yao nini, think deep.
Utii we acha tu, sababu ya utii unaweza kuona anapelekeshwa kumbe yeye analipa fadhira kwa waifu wake mtiifu kisawasawa.
Na inapotokea mwanamume "hamtii" binti?
Kitenzi kutii unapokifanya kuwa kutendana kinakuwa "kuti(i)ana".
Kwa hivyo mi nahisi wote wanahitaji kitu kimoja tu, "kutiana".
Sidhani kama kusifiwa inakuwa mara kwa mara kama utii especially kama mmefunga pingu za maisha. Ndo maana unaona kuna ndoa nyingi tu ambazo technically hazipo kama ndoa ila zinaenda ili siku nazo zisogee kwasababu communication is not in the same level for the two couples....
?????????????????????????????????????????????????
[MENTION]Kwa kweli nimeipenda hii kama ni uchi hata changudoa wanatoa huduma hiyo vizuri tena bila garama kubwa, tena viwango na masharti yanazingatiwa