Kituo cha TV cha Diamond Platnumz

Kituo cha TV cha Diamond Platnumz

Mi nashangaa Sana watu wenye akili zao nap eti wana Team Mara kiba Mara cjui diamond.....Hivi mnapata nini kwa kuwateta na kuwasifia hawa jamaa!! Wakila wakilala wakipumua mnakiwa mnafaidika na mini
Maana naona humu kila siku watu mapovu yanawatoma kuwasifia hawa jamaa. Wako radhi washinde kutwa nzima kwenye keyboard kwa ajili yao......Kueni....Hata hawawajui Kama Mnaexist
 
mkuu nimepata taarifa kuwa wewe ni team mond
 
Mi nashangaa Sana watu wenye akili zao nap eti wana Team Mara kiba Mara cjui diamond.....Hivi mnapata nini kwa kuwateta na kuwasifia hawa jamaa!! Wakila wakilala wakipumua mnakiwa mnafaidika na mini
Maana naona humu kila siku watu mapovu yanawatoma kuwasifia hawa jamaa. Wako radhi washinde kutwa nzima kwenye keyboard kwa ajili yao......Kueni....Hata hawawajui Kama Mnaexist

We unafikiri wanafaidika na nini labda?
 
Mi nashangaa Sana watu wenye akili zao nap eti wana Team Mara kiba Mara cjui diamond.....Hivi mnapata nini kwa kuwateta na kuwasifia hawa jamaa!! Wakila wakilala wakipumua mnakiwa mnafaidika na mini
Maana naona humu kila siku watu mapovu yanawatoma kuwasifia hawa jamaa. Wako radhi washinde kutwa nzima kwenye keyboard kwa ajili yao......Kueni....Hata hawawajui Kama Mnaexist

Ujinga ujinga tu ndo wanajua
 
Bora hata wangekua wanawasifia kwa point wanachojua ni matusi tu jaman hizi team zinatukana ovyo yaani WANAKERA
 
alilopoka tuu c unajua ni bwana misifa nae kama mzee 12 - 6
 
"Nlikuwepo":bolt:
 
Attachments

  • 1431536150735.jpg
    1431536150735.jpg
    26.5 KB · Views: 252
Enzi hizo alipoanza kupewa idea hiyo na Zarina.. na ikambidi aungane na bosi wake..
 
Jamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
Hivi unajisikiaje leo unainjoy steshen ya Wasafi, mnapendaga sana kupiga majungu afu mambo yakishakamilika ndo mnakuwaga viherehere wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona Taarifa ya habari, documentary au uchambuzi wa mambo muhimu kwa nchi. Naona Kama wamechomeka extenal Hard Disc tu
 
Back
Top Bottom