rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,113
- 18,742
Lukelo sakafu, nifah, Ngeda na topr, tumsaidie Kiba asinyonywe, makelele ya humu hayamsaidii kijana huyu. Ananyonywa sana.
na nani?
Lukelo sakafu, nifah, Ngeda na topr, tumsaidie Kiba asinyonywe, makelele ya humu hayamsaidii kijana huyu. Ananyonywa sana.
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????[/QUOTE
Dogo amekua na mambo ya kike sana siku hizi
Hahahahah....jamani
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????
Sijakurupuka ndugu kumbuka mlitangaza kwa nguvu nyingi bat kimya mpaka ss
Mimi ninapenda kitu kimoja kutoka kwenu MUNAZIJUA NA KUZIFUATILIA HABARI ZAKE VIZURI SANA halafu munadanganya watu kuwa eti hamumpendi wakati vinjwani mwenu kuna DiamondJamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????
Mimi ninapenda kitu kimoja kutoka kwenu MUNAZIJUA NA KUZIFUATILIA HABARI ZAKE VIZURI SANA halafu munadanganya watu kuwa eti hamumpendi wakati vinjwani mwenu kuna Diamond
Jamani nawauliza mashabiki wa domo kituo chake cha TV kimeishia WAP maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu chanidanganya????????
Umeona hapo NILIPO-BOLD maana yake wewe umejitoa na hilo neno linatumika kutuniza kitu usichokipenda (rejea kiswahili )Kunasehemu nimeandika simpend diamond au macho yako yanamakengeza embu nambie nilipo andika simpend????
Ingekuwa vizur ujibu swali LA TV station na sio abari za kupendana or kutopendana????
Labda Tv asilia mkuu
Labda alimaanisha tivii ya kupigia ramli...
Unajua nn me nilijua izi ni mbwembe tu maana namjua domo kila anachofanya anatakaga dunia ijue gafla tu aseme anazindua?????
Wakati kwa tabia yake kuanzia siku ananunua kamera angeanza kutangaza.
Nipo humu toka mwaka Jana ndugu majungu Yangu nn kuuliza ndo majungu
Wenye wivu wa nyoka wanamwonea hajawahi tamka hivyo. Nyumba yenyewe ndio kamaliza Jana Wanamkibiza kwenye ndege. Wanamuwaisha mno kijanaAlitamka Diamond mwenyewe au mashabiki wake? Na kuna mtu kazungumzia Private Jet, je kasema hivyo Diamond mwenyewe au mashabiki? Namfuatilia Dangote ktk Instagram vizuri kabisa sijaona hizo post-feeds!!
Sijakurupuka ndugu kumbuka mlitangaza kwa nguvu nyingi bat kimya mpaka ss