Shakala
Member
- Sep 30, 2024
- 13
- 11
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?
Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.
POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU