KERO Kituo cha Polisi Mtumba, Dodoma muache uonevu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Shakala

Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
13
Reaction score
11
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.

Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?

Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.

POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
 
Sio sawa, dhamana ni Haki ya Kila mtu kwa makosa yanayodhsminika!Paza Sauti kweli kweli
 
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.

Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?

Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.

POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Uonevu umekuwa part of system. Watanzania wasipo upiga vita. Wataendelea kugandamizwa tena na tena
 
Kituo hicho kipo mkoa gan labda, tufahamu kwanza na kama kuna askari unamfaham anafanya uonevu tusaidie jina lake
 
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.

Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?

Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.

POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Huo siyo uonevu! Hizo ni njaa tu. Hao jamaa unaweza ukafikiri labda hawalipwi mishahara na posho. Muda wote wananuka njaa tu.
 
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.

Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000 kwa kila mmoja ili atolewe mtu wake, wajuzi wa sheria hii ni sawa?

Juzi kati hapa saa 7 mchana wamekutana na mzee katoka zake shamba anakatisha barabara akamuone mwanae upande wa pili wakamdaka, bahati nzuri mwenyekiti wa huo mtaa alikuwa karibu akamuokoa.

POLISI MTUMBA ACHENI HUU UONEVU
Wafichueni hao vibaka mnaowafuga Maana kuna vibaka kweli kweli NILISHAWAHI kusimamisha mkweche wangu kumtetea dada mmoja walifanikiwa kuondoka na mkoba ila simu hawakuchukua
 
M
Hiyo mitaa ina uhalifu sana. Niliwahi kunyakuliwa simu yangu na vijana wa bodaboda japo nilikwa mgeni. Hayo ya kutozana hela ni ya ovyo but vijana wa huko badilikeni muache wizi
Mtaa gani mkuu?
 
Mtumba kipo jijini dodoma, pembeni ya mjinwa kiserikali
 
sa unataka wakale wapi? nani alikuambia mshahara unatosha?
 
Ndio maana wanakufaga vibaya unataka kula kupitia mkono wa maskini itakusaidia nini?
 
Back
Top Bottom