LHRC yatoa angalizo juu ya Usalama wa Mfanyakazi wao, Wakili Joseph Oleshangay, yadai anatishiwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
WhatsApp Image 2024-03-28 at 17.27.28_0d423631.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili Joseph Moses Oleshangay.

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga akizungumza na Waandishi wa Habari, amesema hali ya usalama wa Joseph imekuwa hatarini kwa muda mrefu tangu Mwaka 2023 na amekuwa anafuatiliwa ikiwepo kupigiwa simu na Watu wanaomtafuta wengine wakijitambulisha ni Askari wa Jeshi la Polisi.

Amesema mchana wa Machi 14, 2024, Joseph alipata taarifa ya kufuatiliwa na Watu waliosadikika kuwa ni Vyombo vya Dola, hivyo kulazimika kuchukua tahadhari juu ya usalama wake.

Ameeleza usiku wa kuamkia tarehe 15 Machi , 2024, Watu waliosema bila vitambulisho ni Polisi walifika nyumbani kwake na kumkuta mke wake na kumuulizia Joseph bila kutoa sababu za kumtafuta.

“Mbali na kumkosa Joseph watu hao walipiga kambi eneo la nyumbani kwake kwa siku nne tangu Machi 15, 2024 mpaka tarehe 18 Machi 2024. Mpaka sasa sio Joseph ama ndugu zake wakaribu wanafahamu anafuatwa na nani na kwa sababu gani.”



WhatsApp Image 2024-03-28 at 16.09.05_cd9770ef.jpg

WhatsApp Image 2024-03-28 at 16.09.06_47576a97.jpg

LHRC ALARMED BY SAFETY CONCERNS FACING ITS STAFF AND HUMAN RIGHTS ACTIVIST JOSEPH MOSES OLESHANGAY

Dar es Salaam, 28 March 2024

We, Legal and Human Rights Centre (LHRC), are concerned about the safety of our staff, Joseph Moses Oleshangay, a long-serving employee who has worked in various capacities and is currently serving as a lawyer under the land unit in the Arusha Branch office.

Joseph is a Maasai by origin and was born and raised in the Endulen Ward, Ngorongoro district in the Arusha region. Due to his profession and position, he has provided legal assistance and advice to his Maasai community, especially those residing within the Ngorongoro Conservation Area (NCAA), where he lives.

Since 2022, the Government has been conducting what it calls a 'voluntary relocation' exercise of residents from the Ngorongoro area. Joseph assisted his community in the process, earning him a local and international following, include winning the Weimar Human Rights Award in Germany in December 2023.

Additionally, Joseph was named Human Rights Defender of the Month by Defend Defenders, an organisation that promotes and protects human rights defenders in the East and Horn of Africa.

However, since 2023, Joseph's safety has been at risk, as he has been under surveillance, including receiving calls from individuals claiming to be police officers. On the afternoon of March 14th, for example, Joseph received information that he was being followed by individuals believed to be state agents, prompting him to take precautionary measures for his safety.

On the night of March 15th, individuals claiming to be police officers arrived at his home, questioning his wife about Joseph's whereabouts without providing any explanation.

In addition to Joseph's absence, these individuals camped outside his home from March 15th to March 18th, 2024. Joseph and his close relatives are still determining who is following him and for what reasons.

It is worth noting that a few days before Joseph began to be followed, a message circulated on social media warning the government to take action against him, branding him a dangerous individual.

The threatening message mentioned LHRC, the Pastoralists Indigenous Non- Governmental Organization's Forum (PINGO's Forum), the Pastoral Women's Council (PWC), and Susanna Nordlund, an activist, as institutions and individuals supporting Joseph. Although we were alarmed by this message, we did not ignore it.

All these events have caused fear for Joseph and his family, as he has been hunted for a long time. These threats restrict Joseph's freedom to work as a lawyer and serve his community.

We want to inform Tanzanians and the international community about our colleague's safety concerns and the ongoing situation he is facing.

We will continue to monitor the situation and take appropriate action accordingly. Joseph's and his family's safety is LHRC's top priority, and we'll do whatever is possible to ensure they remain safe.

Issued by:
Dr. Anna Henga Executive Director Legal and Human Rights Centre (LHRC)
 
WATU MSIOJULIKANA, ACHENI HAYA MAMBO YANATUHARIBIA KAMA TAIFA

HIVI VITISHO VITISHO SIO SALAMA KWA NCHI
 
Kuna mhuni atakuja hapa kumlaumu JPM kwa hili bifu la kufuatiliwa mtu kama Joseph Oleshangay, na wengi wengineo.
 
Ngorongoro + Wamasai lazima atekwe mtu ili kuondoa ukuda
Mwarabu akae kwa amani hapo eden ya ngorongoro.
 
Back
Top Bottom