Delicious anaongoza wenye kariba yake, Na wewe kama unaongozwa na mwenye kariba ya ushamba ujue na wewe ni mshamba kama yeye!Hata Hitler so aliongoza watu?
Hata James Delicious an group LA watu anaowaongoza.
Point zako ni mfu.
Mataga huna point
Duh! Mbaya sana hiyo.Habari zenu wakuu,
Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.
Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.
Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?
Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Kwa hiyo hata kama habari ni za uchochezi waziweke tu ili zikufurahishe weyeHao wapuuzi kabisa siku walikatisha matangazo ya BBC ilipokuwa inaongelea namna tulivyodanganya kuhusu vipimo feki
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi bro. Wengi hapa tunaandika na kuji mwambafai nyuma ya keyboard. Lakini kwenye uhalisia nasi tuna watoto tunasomesha, tusingependa kuona wakiteseka kwa maamuzi yetu mabaya. Joyce na timu yake hawezi kurusha habari inayohusu Corona wakati mwenye nchi yake hataki kusikia habari hiyo. Kumbuka tu kwamba balozi mdogo wa Marekani kaitwa kwenda kujitetea kwa nini katoa waraka wa corona bila kuwasiliana na serikali ya nchi anayohudumu!Joisi ana familia mkuu, ana watoto na anasomesha. Asipofanya hivyo anajua atapambana na ada za watoto bila mafanikio, kukaa bila kazi kunauma mkuu! Kuishi ni kuchanga karata tu, ukizubaa na kujifanya gangwe utavuna magalasa. Msamehe dada wa watu tu na muhurumie alee watoto wake.
Ndyo maajabu yaliyoko bongoUle muhimili unafikia hatua hata ya kutamani upewe uongozi wa malaika mkuu.
Uliendelea kuangalia kupitia channel nyingine juu ya hiyo habari?Habari zenu wakuu,
Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.
Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.
Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?
Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Nakumbuka kisa cha marehemu Mengi kupondwa mawe yeye na Spencer Lameck. Kisa kwanini alitoa Airtime kwa Lowassa sawa na mgombea wa Ccm !!. Na baadaye nakumbuka walipigwa fine ya 10m kutangaza uhalisia wa migogoro ya wafugaji na wakulima .Uko sahihi bro. Wengi hapa tunaandika na kuji mwambafai nyuma ya keyboard. Lakini kwenye uhalisia nasi tuna watoto tunasomesha, tusingependa kuona wakiteseka kwa maamuzi yetu mabaya. Joyce na timu yake hawezi kurusha habari inayohusu Corona wakati mwenye nchi yake hataki kusikia habari hiyo. Kumbuka tu kwamba balozi mdogo wa Marekani kaitwa kwenda kujitetea kwa nini katoa waraka wa corona bila kuwasiliana na serikali ya nchi anayohudumu!
Naikumbuka sana hio kakaNakumbuka kisa cha marehemu Mengi kupondwa mawe yeye na Spencer Lameck. Kisa kwanini alitoa Airtime kwa Lowassa sawa na mgombea wa Ccm !!. Na baadaye nakumbuka walipigwa fine ya 10m kutangaza uhalisia wa migogoro ya wafugaji na wakulima .
😀Gangwe,huu msamiati wa zamani kidogo nadhani kuna baadhi ya watu hawatauelewa humu...Joisi ana familia mkuu, ana watoto na anasomesha. Asipofanya hivyo anajua atapambana na ada za watoto bila mafanikio, kukaa bila kazi kunauma mkuu! Kuishi ni kuchanga karata tu, ukizubaa na kujifanya gangwe utavuna magalasa. Msamehe dada wa watu tu na muhurumie alee watoto wake.
Aisee Noma sanaNilikua nafatilia mkuu,,,walikata Ila fasta nikaenda kwenye Chanel ya Al-Jazeera nikaona hiyo news!..,,,HAKUNA UHURU.WA.HABARI,,,WOTE LAZIMA WASIFU NA KUABUDU
Mzee mi mwenyewe nilikuwa naangalia, Ila nikasema labda ni coincidence tu, Ila ilipofika Al Jazeera wanarudia habari kwa kifupi, walipofikia ya Tanzania walikatisha tenaUliendelea kuangalia kupitia channel nyingine juu ya hiyo habari?
Hakukua na faults yoyote iliyopelekea ikawa disconnected!
Mpuuze huyo, analeta ukabila, kuishiwa hoja na ujingaWewe mjanja unaengozwa na mshamba huoni ni mshamba zaidi ya yule anaekuongoza!
Wewe mwenye exposure, mjanja unamwongoza nani zaidi ya familia yako?!
Mjanja ukikubali kuongozwa na mshamba ujue wewe ndio bonge la shamba!
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app