Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

Nimeshindwa kabisa kuangalia vipindi katika hz local channels yani siwezi aiseee serious !!!!!! Zaidi ya BBC Swahili siwezi kabisa kungalia local channels
 
Walikata matangazo kwasababu mitambo ilizingua
🏃🏃🏃🏃🏃
 
Mnamo saa 5 asubuhi ITV ilijiunga na Aljazeera English. Heading moja wapo ya news ilihusu hali ya Corona Tanzania.

Ilipofikia hiyo taarifa ITV WAKAWEKA MSULULU WA MATANGAZO na hivyo kuminya hiyo taarifa. Nilipokwenda jaazira moja kwa moja waliongelea tunavyoipuuza covid kwa kuonyesha yaliyotokea Dar es Salaam wakati wa Eid.

Zitto akazungumza yake. Wakazungumzia ya ubalozi wa Marekani. Wakaongelea pia ukosefu wa takwimu. Nikarudi ITV wakamaliza matangazo yao wakajiunga na Al Jazeera kwa topic iliyofuata.
Sasa mkuu suluhisho la tatizo hili ni lipi. 😏😏
 
Ngosha anatisha
Mnamo saa 5 asubuhi ITV ilijiunga na Aljazeera English. Heading moja wapo ya news ilihusu hali ya Corona Tanzania.

Ilipofikia hiyo taarifa ITV WAKAWEKA MSULULU WA MATANGAZO na hivyo kuminya hiyo taarifa. Nilipokwenda jaazira moja kwa moja waliongelea tunavyoipuuza covid kwa kuonyesha yaliyotokea Dar es Salaam wakati wa Eid.

Zitto akazungumza yake. Wakazungumzia ya ubalozi wa Marekani. Wakaongelea pia ukosefu wa takwimu. Nikarudi ITV wakamaliza matangazo yao wakajiunga na Al Jazeera kwa topic iliyofuata.

HIVI NDIO VYOMBO VYETU VYA HABARI TUNAVYO VIAMINI. Au ndio uzalendo huo?
 
Nimeshindwa kabisa kuangalia vipindi katika hz local channels yani siwezi aiseee serious !!!!!! Zaidi ya BBC Swahili siwezi kabisa kungalia local channels
Hiyo BBC nayo inaonyeshwa local channel
 
Mzee mi mwenyewe nilikuwa naangalia, Ila nikasema labda ni coincidence tu, Ila ilipofika Al Jazeera wanarudia habari kwa kifupi, walipofikia ya Tanzania walikatisha tena
Ok nimekupata
nadhan tusiwatupie lawama zote ITV tuangalie na upande wa pili nini kinapelekea haya yote. Hata kama habari hiyo hawajaiandaa wao nao wanaangalia mstakabali wao.

Na hili naamini limewafikia kunamadhara huenda yakatokea ktk tasnia hii kwa wanaojiunga na media za nje, najua wawakilishi hata wa hizo media hapa nchini wameliona so kama kunamikataba ya kimaslahi ni tatizo baina yao.

Na hizi ishu za sikunyingi hizi, Nakumbuka katibu wa kipindi flani alivyo mlalamikiaga Tido enzi akiwa idhaa mmoja huko nnje
 
Habari zenu wakuu,

Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.

Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.

Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?

Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Kwa experience yangu ndogo ya miaka 8 kwenye vyombo vya habari (Including IPP ) mkiwalaumu ITV mnawaonea tu! Kuna mengi sana nyuma ya pazia, unalijua rungu la kamati ya maudhui ya TCRA? Wanaweza wakatwangwa fine kwa kusababisha 'Taharuki' mtaani pagumu jamani...tunapiga marktime na ajira hakuna! Muacheni kabisa mama wa watu, anapitia mengi ambayo mm na ww hatuyajui..including zile simu za maagizo 'Toka Juu' ! Muacheni kabisa asee! Mungu amtunze!
 
Habari zenu wakuu,

Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.

Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.

Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?

Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.

ITV ilishakufa hata kabla ya Mengi kufa kilichobaki ni kushusha kaburini
 
Back
Top Bottom