Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Tatizo la Chadema mnataka TV zitangaze taharuki na habari za kukosoa na kuichafua serikali halali!
Hiyo haiwezekani jamani! Fungua TV yako, mlianza kuikataa TBC, mkaja Star TV, mkasema TV station ya maana Ni ITV pekee, Leo mmeona haifai kwa sababu haitangazi vifo vya maelfu ya watu vinavyosemwa na kigogo
!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haiwezekani jamani! Fungua TV yako, mlianza kuikataa TBC, mkaja Star TV, mkasema TV station ya maana Ni ITV pekee, Leo mmeona haifai kwa sababu haitangazi vifo vya maelfu ya watu vinavyosemwa na kigogo
!Sent using Jamii Forums mobile app