Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Sina shaka we mleta uzi ndio Mwaka mwenyewe maana ni dr bingwa wa kujipiga prömo. Jamaa amekariri kila vipindi vyake utasikia homonal imbalance na UTI. Hata ukiumwa kichwa atakwambia homon imbalansi.

Yaaan hata na mm niliambiwa na hiyo shida bt cjapona loo. Pesa yangu naionea uchungu nw ah ah ah.
 
Inamaana Ligi ya Mdondo Cup ndiyo mwisho wake maana ndiye alikuwa mdhamini wa Ligi.
 

= wakisubiria

Kumbe kilishawahi kufungwa 2014, sasa kilifunguliwa tena vipi bila kutimiza masharti?
 
Sikutarajia kituo kama hiki kufungiwa sababu dk Mwaka amekuwa akijatangaza sana kwenye radio na tv na niliamini kituo kina vigezo vyote vya kitaalamu vinavyotakiwa
Aliyetoa vibali vya kuendesha hicho kituo achukuliwe hatua.
 
Hawa watu wa Kigoma wanajifanya wa akili sana kumbe matapeli tu!
 

Mkuu mwambie dr mwaka akupe refferal uende loliondo kwa grand katmiza vgezo usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…