Kituko kwenye harambee "Movement 4 Change"

That was too bad! Cuz CDM wenyewe most of their leaders wanafall kwenye hiyo category...tukianzia na S!
hata kama wanajihusisha na uzinzi lakini watabakia kuwa wazinzi hakuna uhalali wa uzinzi uwe cdm ccm, cuf uwe askofu mchungaji padre sista sheikh, kikubwa ni kuacha!!
 
Politics bana.Bila shaka aliwakwaza baadhi ya participants pale kwenye harambee maake definition ya UZINZI ni pana na hakujua kuwa it's a broader concept beyond Mbunge huyo aliyekuwa akimnanga.
Uzinzi uzinzi! Huyo jamaa aliwatukana wengi humo ukumbini!
 
hata kama wanajihusisha na uzinzi lakini watabakia kuwa wazinzi hakuna uhalali wa uzinzi uwe cdm ccm, cuf uwe askofu mchungaji padre sista sheikh, kikubwa ni kuacha!!
Point noted!
Hope watakuwa wamekusikia!
 
Demokrasia ya kweli ni pamoja na wananchi kuwa na uwezo wa kusema ukweli wa mambo waliyoyaona na kukemea mmomonyoko wa maadili katika jamii. Mimi nadhani huyo mchangiaje hakukosea kusema ukweli anaoujuaa. Imefika wakati kwa Watanzania kusema ukweli na kukemea vitendo vibaya vinavyo fanywa na baadhi ya viongozi waliopewa dhamana na wananchi kuongoza. Je kama kiongozi anatuonyesha mfano wa kufanya Uzinzi kwa nini huo Uchafu usikemewe Hadharani ??! Tubadilike
 
mnataka kuficha dhambi?? mzinzi hana jina jingine zaidi ya hilo msianze kuwapamba wazinzi au wezi kwa majina ya staha!! hata kama ukumbini kulikuwa na wazinzi watabakia kuwa wazinzi tu hakuna jina jingine la kuwaita, kama ukumbini walikuwepo wazinzi na wakajisikia vibaya hiyo ni hatua ya awali ya kujutia uzinzi wao hatua ya pili ni kutubu na mwisho kuazimia kuachana kabisa na uzinifu! Hata kwenye biblia takatifu wazinzi wametajwa kwa jina hilo na wameonywa regardless wanajisikia vibaya au vizuri hata amri ya sita ya mungu inasema usizini, halikutumia neno la staha zaidi ya hilo usianze kuhalalisha uzinzi kwa kulitafutia neno mbadala au kuogopa kulitaja!!

Umesomeka vizuri sana. Watu wanataka nyeusi iitwe nyeupe!
 
politics bana.bila shaka aliwakwaza baadhi ya participants pale kwenye harambee maake definition ya uzinzi ni pana na hakujua kuwa it's a broader concept beyond mbunge huyo aliyekuwa akimnanga.
mkuu alisema anatoke iramba kwa hiyo alikuwa anamzumgumzia yule alimkwapua mke wa mtu kwenye moja ya chaguzi ndogo.
 
siku moja Yesu akiwa amekaa na mwanamke kahaba, kundi la watu likamjia wanataka wampige huyo kahaba kwani ilikua ni desturi kwa mtu mchafu kupigwa mawe! Yesu akawaambia ambaye anajiona ni msafi awe wa kwanza kumpiga, akainamisha kichwa akachora chini! Yesu kunyanyua kichwa wote wamekimbia. swali nani msafi humu ambaye sio either mzinzi au mwasherati? nani wa kumnyooshea mwingine kidole yeye akawa msafi? me naona hoja kama hizi hazina mwafaka mzuri wa kitaifa kwani sio kipimo cha utendaji? lakini kama m2 anabaka hafai kua kiongozi! navyofikiri asilimia kubwa (zaidi ya 90) wame/natembea na watu ambao sio waume/wake zao. Tujadili hoja za msingi wakuu coz tunapoteza muda kwa kmjadili m2 na sio facts
 
Mkuu mozes,
Yesu "hakukaa na mwanamke kahaba" ila "aliletewa mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi" na Waandishi na Mafarisayo, wakamweka katikati (Yoh. 8:3)! Karudie homework yako vizuri!
 
Yupo humu ndani atakuja sasa hivi yupo kwenye thread nyingine ana~justify kuwa yeye kweli ni MZINIFU ila Dr.Slaa anazini kila siku... Yaaaani hili Jamaa ni SHABABI KWEEEEELI.

wewe unatetea nini?Hujui kuwa mwig nche ni mbakaji afunguliwe kes ya ubakaj wa wake za watu!!Simpendagi mimi!
 
sumu.jpg wazinzi,wapo,wengi,wabadilike,tuwe,na,viongozi,safi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom