Kituko kuhusu teja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituko kuhusu teja

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Sep 18, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Palikuwa na teja ambaye alitoka mbio uchi mpaka maskani kwa mateja wenzake. Alipofika, akawauliza wale wenzake' oya hili suti mwaiyonaje' wale wenzake wakamjibu 'hiyo suti iko poa lakini mbona iyo tai umeifunga chini?'
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimecheka lakini nikuulize,,hapo ndio umemaliza?
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Thanks.nakuja na lingine mkuu
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Imeishia hapo mkuu...subiri part 2
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Naanda lingine mkuu,utaiona baada ya dk 3
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kipofu aliingia
  restaurant moja ya
  mtaani. Kufika hapo
  mhudumu ambaye ndiyo
  alikuwa mmiliki akafika
  kumsikiliza huku akimpa
  menu asome... Jamaa
  ikabidi amwambie kuwa
  yeye ni kipofu hivyo ili
  ajue atakula nini
  angefurahi sana kama
  angemletea kijiko
  kilichotumiwa na mtu
  yoyote wa mwisho
  kulia... Mwenye hoteli
  akaenda jikoni na
  kumletea jamaa kijiko
  kichafu kama
  alivyoomba... Kumpa tu
  jamaa akakinusa then
  akamwambia, "Ooooh
  yeeeah, hiki ndo
  ntakula... naomba niletee
  wali, nyama ya kuku,
  maharage kidogo na
  kachumbari kama
  alivyokula huyu
  aliyetumia kijiko hiki...."
  Jamaa mwenye hoteli
  akabaki hoi kaduwaa bila
  kuamini kwani yeye ndo
  alikuwa kakitumia na
  kweli alikula hivyo.
  Akaenda ndani na
  kumwambia mpishi
  ambaye ni mke wake
  aandae hivyo baada ya
  hapo akampelekea
  jamaa huku bado
  akiwaza jamaa
  amenusaje na kuhisi
  kweli...
  Baada ya siku nyingi,
  yule kipofu akaenda
  tena kwenye
  restaurant ile. Kwa
  bahati mbaya yule
  mwenye hoteli akawa
  amemsahau kabisa.
  Akamletea tena menu...
  Jamaa akamuuliza... "Vipi
  ndugu yangu??
  Umenisahau tayari??
  Mimi ni yule kipofu..."
  Basi yule mwenye
  restaurant akamjibu,
  "Oooh, samahani, ngoja
  nkakuletee kijiko.."
  Kufika jikoni
  akamwambia mkewe,
  yule jamaa kaja tena,
  ngoja leo tumpime
  tuone kama anajua
  harufu kweli au
  alituzingua tu.
  Akachukua kijiko,
  akakiosha fresh na
  sabuni, akamwambia
  mkewe ajisugue nacho
  sehemu zake za siri
  mbele na nyuma ili
  akamkomoe...
  Basi jamaa
  akampelekea kile kijiko...
  Kama kawaida yule
  kipofu akakinusa na
  baada ya kukinusa tu
  kwa mshangao
  akauliza... "Hee?? Sikujua
  bwana, kumbe Maria
  anafanya kazi hapa??!"
  Jamaa akabaki hoi
  kaduwaa coz ndo jina la
  mkewe(yule mpishi).... lol
   
 7. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #7
  Sep 18, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Excellent upo juu sana...Yaan vyote viwili ni vya moto sana.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu,nakuja na lingine
   
 9. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  me hicho kituko cha pili kidogo nivunje mbavu zangu.
  leta ingine..
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  nakuja nalo mkuu sema kuna mechi hapa,ila nakuja soon
   
 11. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hiyo ya kipofu imenivunja mbavu,unatisha mkuu.
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Thanks Dy/dx Napost sasa hivi ya pili
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Bibi kizee moja alijulikana bingwa wa kupinga mtaani,yaani kama unabisha mnawekeana dau,siku moja alienda benki alipofika reception akasema nataka niweke hela kwenye account yangu,pale reception akaambiwa lete hela yako tukuwekee,bibi alikataa na kudai manager mkuu wa benki ndo anafaa kumwekea na bila hivo hataweka hela yake a/c.Reception walipoona hivo wakampeleka bibi kwa manager ili amwekee hela,alipofika manager alishangaa sana,akamwambia we bibi hii milioni 10 umetoa wapi mbona jinsi unavyoonekana mtu kama wewe hana uwezo kuwa na hela kama hiyo?Bibi akajibu,nilipinga na mtu na kuwekeana dau ya kila mmoja kuweka milioni 5,kwahiyo nikashinda ndo nikapata milioni 10.Manager akamwuliza,kwani kupinga ni kazi sana?Bibi akajibu,usijali,tunaweza tukapinga mi na wewe ila tuwekeane dau ya miloni 10 kila mtu,ukishinda nakupa milioni 10 na mimi nikishinda unanipa milioni 10,Manager alishawishika na kumwambia bibi aseme watakuwa wanapinga nini?Bibi akamwambia ''kesho mda kama huu saa kumi jioni hutaziona sehemu zako za siri''Manager alibisha kweli na kusema haya tutaona na hiyo milioni 10 yako lazima nichukue mana lazima nitakuwa na nyeti zangu''wakaagana,kesho yake bibi akamjia manager ofisini mda ule ule akiwa na mtu mwingine.Manager akawakaribisha ofisini kwake vizuri,akaenda chooni ili aangalie sehemu zake za siri kama zipo,alipofika chooni akawa anafurahi sana kuziona sehemu zake bado zipo,akarudi ofisi kwa furaha na kumwambia bibi,haya nipe milioni zangu 10 mana nina nyeti zangu bado,Bibi akamwambia mpaka nihakikishe na kuzishikashika kwa mkono ili nijue kama ipo,manager ikabidi afungue zipu lake na bibi akaanza kuzipapasa kwa mkono wake,wakati bibi anapapasa nyeti za manager yule mtu aliyekuja naye akaanza kujipigiza ukutani kwa nguvu,Manager akamwuliza bibi,kwanini huyu mtu uliyekuja naye anajipigiza hivo???Bibi akajibu ''We tulia nikupapase,huyu mtu ameshaliwa hela ndo mana anajipigiza kwa presha,nilimwambia nina uwezo wa kuzipapasa nyeti za manager wa benki kuu ila akabisha ikabidi tuwekeane dau ya miloni 40 kila mtu,kwa hiyo ameshaliwa.,cha msingi ye anipe milioni zangu ili we uchukue milioni zako 10 kutoka kwangu.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kwahiyo kipofu atakua ashapita kwa mke wajamaa
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hapo kipofu ameshafaidi mke wa mtu
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yani bibi alikua anaunganisha matukio
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  inavyoonyesha haupiti mara kwa mara hapa. Hii ya kitambo kweli.
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Sikujua mkuu,but nadhani hajaharibika kitu
   
 19. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Excellent kweli uko juu!
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Bibi ni noma.
   
Loading...