Kituko kuhusu teja

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,212
2,000
Mkuu wewe ni Excellent kweli. Japo nyengine ni copy and paste. Lakini umetufurahisha sana. Thanks
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,893
2,000
Palikuwa na teja ambaye alitoka mbio uchi mpaka maskani kwa mateja wenzake. Alipofika, akawauliza wale wenzake' oya hili suti mwaiyonaje' wale wenzake wakamjibu 'hiyo suti iko poa lakini mbona iyo tai umeifunga chini?'
Alikuwa wa kike au kiume?
 
Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
mkuu punguza bana,doh AKANANA yangu imekwisha yote kichwani baada ya kusoma hizi mambo zako...Doh Bibi anaweza hata pinga na Mkuu wa kaya kuwa anaweza mkalia uchi....Teh teh teh teh...
 
Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
Kahaba moja aliandaa tuzo,kijana yeyote wa kiume atakayefanya naye tendo la ndoa na kufikisha goli nane anampa tuzo,Wakajitokeza vijana wanne,wa kwanza akaanza kazi, alipofika goli la 3 akawa hoi,wa tatu akaingia,alipofika goli la nne akawa hajielewi kabisa,akaja kijana wa tatu,akaahangaika alipofikisha goli tano hali mbaya,akaja kijana wa nne na wa mwisho,akahangaika sana ila alipofikisha goli la 6 akawa yuko hoi na amechoka,............mara akatokea mzee moja aliyezeeka na bako
Hahaha kaka kaka hawa ndio wale ambao wanafanyaga haka kamchezo na mbuzi....Doh Babu anatisha.
 
Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,417
2,000
Alikuwa wa kike au kiume?
<br />
<br />
Angekuwa mwanamke wangesema;suti yako ni nzuri ila imechanika chini,nenda kashone,halafu maeneo ya kifuani(matiti) wangesema;mbona mifuko ya koti umeitoa nje ndani?
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,522
2,000
Kahaba moja aliandaa tuzo,kijana yeyote wa kiume atakayefanya naye tendo la ndoa na kufikisha goli nane anampa tuzo,Wakajitokeza vijana wanne,wa kwanza akaanza kazi, alipofika goli la 3 akawa hoi,wa tatu akaingia,alipofika goli la nne akawa hajielewi kabisa,akaja kijana wa tatu,akaahangaika alipofikisha goli tano hali mbaya,akaja kijana wa nne na wa mwisho,akahangaika sana ila alipofikisha goli la 6 akawa yuko hoi na amechoka,............mara akatokea mzee moja aliyezeeka na bako
Hahaha kaka kaka hawa ndio wale ambao wanafanyaga haka kamchezo na mbuzi....Doh Babu anatisha.
mababu wengine noma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom