Hahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa
Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!
.........hii kwangu ni kali ya mwaka:heh:
Sio wedding planner,ila ndugu rafiki wakiwa wana harusi, wengi huwa wananifata niwaplanie, huwa sikoseiSlanted r u a wedding planner? Ni pm tafadhali
jamaa mzembe naye angemtambulisha ex-gf wake ili watoke ngoma draw..
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.
Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
Angalia kwenye nyekundu:last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.
Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
<br />Huyo ni mke wa mnayemuita ex-bf soma Mat19:3-9. Ndoa ilikuwa siku ile alipoingiliwa kwa mara ya kwanza(Lawi21:13-14) maana pale palikuwa na agano la damu!(damu inanena) bado ikaimarishwa tena kwa damu ya wakati wa kuzaliwa mtoto wa kwanza! Hizo damu ndizo(Law17:11) zinazomueleleza amtambulishe huyo mwenye mke hata kama jamii(pamoja na wazazi, makasisi) wanamtambua huyo aliyejitokeza rasmi(kutoa mahali) poor boy, ni bora angeenda kuanza mahala pengine tu maana Mungu hutimiza neno lake(1cor7:2-4,7:39,Mwa4:25,2:23-24) sasa ameikosa damu ya kwanza labda pengine kwenye 'kuendesha baiskeli', damu ya mtoto wa kwanza je,<br />
_
mimi ndio maana huwa nahamisha meza watu
kula nile mie, dibaji apewe yeye....
Mambaff