Kituko harusini

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.

Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
 
Huyo jamaa aliyekuwa anaoa hakutoa talaka hapo hapo?
 
hapo mwita maranya haitakiwi kutoa taraka, unachotakiwa ni kushukuru kwanza kufahamu kuwa kumbe huyo mkeo alikuwa tayari ameshabanduliwa na wajamaaaa..!! jambo la pili la kufanya ni wewe bwana harusi unachukua microfoni na kumtangazia huyo x-bf (a.k.a mme mwenza) kuwa sasa ache kumfuatafuata huyo mkeo na kama atamfuatafuata basi hutasita kukata kilo moja ya nyama kutoka upande wa kushoto wa ta!@#$%^&*....ko lake.
 
shagiguku umenivunja mbavu loh! Na iwe warning asijejileta kwenye harusi(asishangae kuona kapewa kadi za ndugu!)
 
hapo mwita maranya haitakiwi kutoa taraka, unachotakiwa ni kushukuru kwanza kufahamu kuwa kumbe huyo mkeo alikuwa tayari ameshabanduliwa na wajamaaaa..!! jambo la pili la kufanya ni wewe bwana harusi unachukua microfoni na kumtangazia huyo x-bf (a.k.a mme mwenza) kuwa sasa ache kumfuatafuata huyo mkeo na kama atamfuatafuata basi hutasita kukata kilo moja ya nyama kutoka upande wa kushoto wa ta!@#$%^&*....ko lake.

mkuu yataka moyo!
 
Yaani harusi nyingi kuna vitu very unnecessary kwa kweli
sijui hotuba ya shangazi..
Mara nasaha za babu....ili mradi tu....
 
  • Thanks
Reactions: Jux
hapa issue ni kutoa talaka pale pale,...tena kama ni wa dini ya kiislam unapiga tatu kabisa,...kwetu sisi wakristo ni fujo bin fluuuuuuuuuuuu
 
si afadhali kamuweka wazi, japokuwa hapakuwa mahali sahihi pa kumtambulishia! kuna mijitu inaoa/olewa na ex wake hata hajamtambulisha kwa mwezi wake coz bado wanaendelea kwa chati! akitoka honeymoon tu anaenda kuendelezea walipoishia! huyo kamtambulisha kwa maana ya kuwa biashara ilishaisha! wangapi hapa wanawatambulisha ex wao hata kwa gf/bf? huyo dada washamalizana na ex wake, tatizo ilikuwa hakuna haja ya kutambulishana hadharani!
 
Mie ndio maana harusi nazoandaa zinakuwa kama tamasha, hakuna cha utambulisho wala nini, kwanza unatambulisha ili iweje? tambua baba na mama wanatosha, nasaha pia zinaboa tu
 
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.

Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??

Mmmmh ngoja niwasaidie waalikwa kuguna!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
si afadhali kamuweka wazi, japokuwa hapakuwa mahali sahihi pa kumtambulishia! kuna mijitu inaoa/olewa na ex wake hata hajamtambulisha kwa mwezi wake coz bado wanaendelea kwa chati! akitoka honeymoon tu anaenda kuendelezea walipoishia! huyo kamtambulisha kwa maana ya kuwa biashara ilishaisha! wangapi hapa wanawatambulisha ex wao hata kwa gf/bf? huyo dada washamalizana na ex wake, tatizo ilikuwa hakuna haja ya kutambulishana hadharani!
Kaweka wazi nini sasa , nina hakika kila atakapokuwa anaangalia mkanda atakuwa anaguna moyoni mpaka basi, amefanya kosa sana, imagine mume wake angemwalika x wake, angeweza kuvumilia huo utambulisho, usimfanyie mwenzako kitu ambacho huwezi kuki handle ukifanyiwa, na nawahakikishia huyo mume amekaa kimya ila atakuja lipiza tu, duh mijanamke mingine bwana huyu atakuwa kati ya yale makabila yanayoogopwa kwa ukali na ukatili tu
 
Yaani harusi nyingi kuna vitu very unnecessary kwa kweli
sijui hotuba ya shangazi..
Mara nasaha za babu....ili mradi tu....
Namtabulisha kaka yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa mjomba naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mdogo wake mama yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa shangazi naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha dada yangu aliyenilea naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha bibi naomba uwasalimie

Harusi zetu za kibongo hiziii
 
hapa issue ni kutoa talaka pale pale,...tena kama ni wa dini ya kiislam unapiga tatu kabisa,...kwetu sisi wakristo ni fujo bin fluuuuuuuuuuuu

kumtambulisha tu ndio umpe talaka?? pengine dada kafanya hivyo kwa nia njema na inawezekana knye fngu la maandalizi ya send off ex-bf ndio kawezesha kwa mgongo wa mzazi mwenzie anaolewa
 
Kaweka wazi nini sasa , nina hakika kila atakapokuwa anaangalia mkanda atakuwa anaguna moyoni mpaka basi, amefanya kosa sana, imagine mume wake angemwalika x wake, angeweza kuvumilia huo utambulisho, usimfanyie mwenzako kitu ambacho huwezi kuki handle ukifanyiwa, na nawahakikishia huyo mume amekaa kimya ila atakuja lipiza tu, duh mijanamke mingine bwana huyu atakuwa kati ya yale makabila yanayoogopwa kwa ukali na ukatili tu

ndio yapi hayo mpendwa tuwe makini nayo!
 
Bwaa harusi kapigwa changa la macho mchana kweupeeeee.....kuna baadhi ya watu
wanasema watu wakishazaa hawaachani bali......
 
Namtabulisha kaka yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa mjomba naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mdogo wake mama yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa shangazi naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha dada yangu aliyenilea naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha bibi naomba uwasalimie

Harusi zetu za kibongo hiziii

Hahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa

Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!
 
Back
Top Bottom