Kituko cha mwaka 90

Kituko cha mwaka 90

Kuna siku jamaa mmoja mgeni kutoka shamba alikuja kwetu kuingia chooni na kuflash sasa yale flash tank huwa

yalikuwa yanapiga kelele wakati maji yanatoka Duh! jamaa alipiga yowe moja alipambana na mlango akitaka kutoka

toi kwa nguvu mwishowe alikuja kupandishia suruali sebuleni.
 
Hapo kitambo niliponunua simu yangu ya mkononi ya kwanza nikampigia jamaa yangu kumbe alikuwa hapatikani nikasikia ile sauti recorded kuwa mtumiaji uliyempigia
 
Kuna siku jamaa mmoja mgeni kutoka shamba alikuja kwetu kuingia chooni na kuflash sasa yale flash tank huwa

yalikuwa yanapiga kelele wakati maji yanatoka Duh! jamaa alipiga yowe moja alipambana na mlango akitaka kutoka

toi kwa nguvu mwishowe alikuja kupandishia suruali sebuleni.

hahahaaa nimecheka comments zingine bt hii imekuwa too much.
 
mi sita sahahu siku nilipo kichemsha kitu cha vip. bush kwa bibi. ile kutoa kwa maji kimetanuka mimi 50 tungeweza kukivaa na kisibane. ndio nikaja fahamu moto na mpira haviendani🙂
 
Mi sisemi,msije zimia kwa kucheka bure maana ilikuwa balaa bin kituko bin noma
 
Siku nimetoka kijijini kufika mjini kuona tv nililia sana maana nilishangaa watu wanaongea kwenye boksi
 
nikiwa mdogo nakumbuka baada ya ibada kkkt mchungaji akasema wenye shida waje mbele na mimi nikaande mchungaji akaniuliza mtoto na wewe una shida huku akionesha mshangao nikwamwambia naomba maji ya kunywa akarudia nilichosema kanisa zima wakaangua cheko

mchungaji akasema nenda kwa mama yako atakupatia nyumbani nikawa ndio nataniwa .dah utoto noma sana
 
Mimi nikiwa mdogo mambo ya kudokoa nyama nimetoka kucheza boli nikaona kitu kinachemka jikoni nikazama na bakuli nikachota supu na vinyama kidogo nikazama chumban ile namaliza kula tu mshua anakuja kuniambia tafuta chombo cha mbwa wa shambani tumpelekee malapulapu yameshaiva jikon yaan nilichoka
 
Nilipokuwa mdogo, nilimwona baba yangu kuwa mtu mkubwa na nilimwogopa. Alikuwa mkuu wa wilaya. Niliposikia Rais anakuja wilayani, baba alihangaika sana hadi nikamwonea huruma nikajisemea rohoni kumbe baba sio mkubwa kabisa...
 
Mi nakumbuka nilikua napenda sana ndiz flan hv zinakuwaga kama ndiz mbivu hiv lkn zenyewe ni Nene hiv za kukaanga kwny mafuta(ndiz mzuzu)!basi maza akazikaanga akiwa amezikata vipande vidogo vidogo vya round!basi nikala afu nikaenda kulala lkn nilikua cjaridhika so nikazuga nmelala ile maza ameenda kuoga nikawa naenda sebulen nadokoa kwny sahan ya dingi maana yy alikua bdo hajarudi,basi nikapga round za kutosha ubaya taa ya sebulen ilikua imezimwa so sikujua zmebak kiasi gan,la haula dingi alivorud maza wkt anamkaribisha msoc kufunua ile sahan iliyofunikia msoc,akakuta vipande vi2 vya ndiz ndo vmebak,maza akaja fasta kunichek chumban mi huk nazuga nmelala akaniita saana nazuga simsikii nmelala,acha anikague mikono hahah ilikua imejaa mafuta ya ndiz mwanzo mwisho!dingi alicheka sana akasema usImchape mtoto!hahah
 
Kuna mfanyakazi tuliletewa kutoka singida basi nikaenda kumpokea stand then nikawa nampeleka ofisn kwa maza hapo ppf tower ili amuone, atupe na lift ya kwenda home,ile tumefka kwny lift imeanza kupanda juu,nikaona yule dada amechuchumaa lift ilivofunguka nikamuuliza kwann ulichuchumaa akasema nilijua tunapimwa uzito ndo mana nilichuchumaa,hahah!sitamsahau
 
Mimi nikiwa mdogo mambo ya kudokoa nyama nimetoka kucheza boli nikaona kitu kinachemka jikoni nikazama na bakuli nikachota supu na vinyama kidogo nikazama chumban ile namaliza kula tu mshua anakuja kuniambia tafuta chombo cha mbwa wa shambani tumpelekee malapulapu yameshaiva jikon yaan nilichoka

Kwi kwi mbavu zangu..
 
My convocation is now ok , nimecheka saaaana coz nilikua nimeghafirika kuwaona ma mate walonikeraga enzi zileeeee chuo, daaaaaah
 
Mi nakumbuka nilikua napenda sana ndiz flan hv zinakuwaga kama ndiz mbivu hiv lkn zenyewe ni Nene hiv za kukaanga kwny mafuta(ndiz mzuzu)!basi maza akazikaanga akiwa amezikata vipande vidogo vidogo vya round!basi nikala afu nikaenda kulala lkn nilikua cjaridhika so nikazuga nmelala ile maza ameenda kuoga nikawa naenda sebulen nadokoa kwny sahan ya dingi maana yy alikua bdo hajarudi,basi nikapga round za kutosha ubaya taa ya sebulen ilikua imezimwa so sikujua zmebak kiasi gan,la haula dingi alivorud maza wkt anamkaribisha msoc kufunua ile sahan iliyofunikia msoc,akakuta vipande vi2 vya ndiz ndo vmebak,maza akaja fasta kunichek chumban mi huk nazuga nmelala akaniita saana nazuga simsikii nmelala,acha anikague mikono hahah ilikua imejaa mafuta ya ndiz mwanzo mwisho!dingi alicheka sana akasema usImchape mtoto!hahah

hahah! Yani mi ningekuwa mamako ningekucharaza
 
Hahaa! Mimi jamani cku ya kwanza kwenda Posta mwenyewe nilikuwa naelekea maeneo ya Ifm, nakumbuka nilizunguka jengo la imalaseko mara tatu nisijue naelekea wapi, mbaya zaidi nikakutana na mzungu akaniulizia imalaseko iko wapi, hicho kingereza nilichokuwa nakiongea mmh cha form six leaver ya saint kayumba! Daah niliiona kama ni kiyama cku hiyo. Nikikumbuka huwa nabaki nacheka sanaa
 
Siku yangu ya kwanza chuo kikuu dokta wa somo alinituma niwashe na kuunganisha projector kwenye laptop yake, kilichofuata hakisemeki hapa
 
Siku yangu ya kwanza chuo kikuu dokta wa somo alinituma niwashe na kuunganisha projector kwenye laptop yake, kilichofuata ...... Hatimaye nikajitetea kipindi kilichopita siku wepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom