Mh mm naona kabla hujamhukumu uyo mkeo lazma kutakua na sababu ya kwann awe ivo.(1)unamuandaa ipasavo??kuna ile tabia unamuingilia kama wafanyavo ng'ombe hamna maandalizi unafikir mwanamke atafurahia chochote apo?
(2)je unamtosheleza??mana kuna wengine wao wakiingia kama mang'ombe hapo ni unamchuna tu mwanamke uko chin na anakupa ili akuridhishe tu ww lkn hafurahii kitu mana mnakujaga kwa pupa,mana anajua ukianza huchukui mda umemaliza,kwaio unakua kama umemuaffect saikology yake ,so hata akiwa karib nawe anakua akil yake haiko ready hata ufanye vp.
(3)unawajibika as a man ktk mambo mdgmdg??jitahid hata ukirud kutoka kazini japo kiua mwanamke hua anafurahi .
(4)kama unauwezo basi jaribu hata kwa mwez mara moja kumtoa out ,ajihis nae ni muongon mwa wanawak wanaothaminika mbele ya waume zao.
(5)jaribu kua open na kua close kwa mkeo,,sio mda wote ww ni busy na kazi ,kazi iko na ww,hata mda wa kukaa na mkeo mkaongea mkacheka ,kila mtu aseme yaliyokua ya moyoni ,ajue uyu anapenda nn, anataman nn hamunaga mda uo.badilika ww kwanza.kitu kdg kwako lkn ukimfanyia mkeo ndo itakua mwanzo wa big changes ebu jaribu uone.
(6)mnapokua faragha na mkeo jaribu kumbadilishia mazingira mnapotaka kukutana kimwil,mjengee ivo fantasy yenu iwe popote pale,yani mda wote atakutaman,akikaa jikon ww mfate cheza nae taratibu muongelee maneno mazuri kama alikua anapika ataacha ye mwenyew apo.mambo kama ayo jus bring changes.
Note: inaonesha umechange for some how,mwanzo mlivoowana kuna vitu ulikua ukimfanyia ila sasa humfanyii ,jaribu kua romantic as first kama kipindi kile uliyokua unamfanyia yarudishe tena yote uanze kumfanyia as if ndo mmeowana juzi.
JUS TRY IT.