Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Sasat Preta hiyo woow ni kwa ajili ya perfume au hiyo SEXY MEN? And really I am . . . Ha ha ha ha
zote mbili....
Sasat Preta hiyo woow ni kwa ajili ya perfume au hiyo SEXY MEN? And really I am . . . Ha ha ha ha
Mi sijui nikoje asee....
Mi kwenye malavidavi napenda sana harufu ya kikwapa cha mpenzi wangu.....
Mapafyumu pelekeni huko Ufaransa kwenu lol
Mi sijui nikoje asee....
Mi kwenye malavidavi napenda sana harufu ya kikwapa cha mpenzi wangu.....
Mapafyumu pelekeni huko Ufaransa kwenu lol
mimi ni Yu na Yolanda....yeye ndio hizo......
:crazy:est que vous voulez eau de toilette monsieur.....?
Tena leo hakikisha huogi kabisaaaa!!!Kumbe ndo maana kutwa kucha pua yako kwapani kwangu.
Mwenyewe kudadadeki! Unitukane mchana kweupe hivi?:A S 13:moi....pourquoi...??....oh la la....
:mvutaji:.
est que vous voulez eau de toilette monsieur.....?
Preta ndio pafyumu gani hiyo
Mi sijui nikoje asee....
Mi kwenye malavidavi napenda sana harufu ya kikwapa cha mpenzi wangu.....
Mapafyumu pelekeni huko Ufaransa kwenu lol
OOOOK, Sasa ndio naelewa kwa nini perfume zangu zilikuwa zinaisha mapema, ladies mh!na inapendeza kidogo akipaka zile zenye hadhi ya kiume......dior homme,euphoria,fahrenheit....na nyinginezo....
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
..i can see TF "The Designer" is Here. Ktk list yako nadhani hapo namba 9&10 pananihusu.Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Hehehe! Usingejitokeza kuchangia kwenye huu uzi ningeandamana jf ifungwe!... Mda wote nasoma taratibu nikutane na post yako lol. Usijifiche sana swahiba..Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren