donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Hahaha kweli mkuuApo[emoji109].
Embu vuta picha Kama ungetia zote kwa sahani moja..
Aisee unakosa utamu mkuuMlenda umenishindaga kabisa kuula..
Kama sio mchaga basi mhaya.Mlenda umenishindaga kabisa kuula..
Mlenda hata hamu ya chakula ikate vipi kwa mlenda utakula kwa radha Nzuri sana!
Hata iwe malaria kali utakula tu.
Ni kama uji wa ndimu !
Mlenda mboga moja tamu sana niipendayo
Unaweza hata nyama usiguse kabisa sijui mlenda una Siri gani aiseeSalute kwa aliyevumbua mlenda wa bamia[emoji28]
Aliugundua MdengerekoUnaweza hata nyama usiguse kabisa sijui mlenda una Siri gani aisee
Umejuaje mkuuAliugundua Mdengereko
Safi mkuuNgoja nikale
KwakoMlenda ni mboga mbovu sana, hauna ladha yoyote.
Hunishindi mimi.Mlenda mboga moja tamu sana niipendayo
Aisee Ni muhimu Sana Kama Chama Locomotive faint kwa SimbaPili-pili mbuzi au kichaa inakosaje hapo!? [emoji39][emoji39]