donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Tatizo nyanya chungu Ni Kama jina lakeHunishindi mimi.
Ichanganywe na nyanya chungu.
Acha tu
Tatizo nyanya chungu Ni Kama jina lakeHunishindi mimi.
Ichanganywe na nyanya chungu.
Acha tu
Mlenda mwage una mix na maharage kidogo Kilosa hiyo sijui Mh.Kabudi anaupata si ndo Mbunge hukoKuna mlenda wa aina nyingi ambao umegawanyika katika makundi mawili artificial (man made) na natural.
Sasa huo anao kula mtoa mada ni artificial umetengenezwa na bamia.
Natural ule wa porini mfano mbura, majani ya mti wa ubuyu mdogo, mrenda pori upo kama mchicha hivi. All in all mlenda mboga nzuri.