Kitu Mfano wa bomu kilichotua Ngara usiku wa kuamkia jana

usalama wa taifa haujui hata wana jeshi wetu maji ya shingo kutengua amakweli tanzania ni maajabu kila kukicha. wanangara na mikoa jirani kuweni makini sana hii nchi haina walinzi bali nyie ndio wa kuwa makini na chochote mkionacho
 
attachment.php
attachment.php
 
Kila kitu kinafanywa kwa utafiti unauhakika gani kama limetoka goma subiri uchunguzi toka kwa wataalamu jwtz kujuwa ni bomu au kitu kingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom