Kitu kipya kinakuja Iphone 8

Kweli mkuu, na mimi pia naipenda hii brand,ningependa kujua "Apple mackbook" ni bei gani duka...?
 
Yeee kimekuja kuna watu walibisha IPhone 8 haitoki September. Ni simu ya dola elfu.

 
Iphone
wasipobadilisha muundo wa 6 na 7 sinunui, labda waweke muonekano mpya
 
Wametangaza leo kwenye TV imeshaanza kutoka. Ila si unajua zinaanzia jikoni.
Heads up tu hiyo. Wakali wa biashara na maadvataizi mkae mkao wa kula.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…