Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Habari za siku wadau.

Leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bana.

Mademu wengine wana lawama sana.

Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele, atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki, Utamaliza Nyama bucha Ileile, kwani mi sikupi papuchi si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka, Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA.

Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju.

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka, mpaka majirani wanakereka.

Kazi yote ufanye wewe Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, Unafinywa Si kufinywa, Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda.

Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni, Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Pole.

Teh teh teh mapenzi haya

Halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale.

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo, Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

Shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

Ikikuuma iache ila ujumbe umefika.
 
habari za siku wadau....

leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bna......

Mademu wengine wana lawama sana....

wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii papuchi....si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...

anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka... mpaka majirani wanakereka bna....

kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...

teh teh teh mapenzi haya.....

halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

ikikuuma iache ila ujumbe umefika.

shanga nyingine kama uchafu... :becky:
 
Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...

teh teh teh mapenzi haya.....halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...
  • Mkuu PH-25 mi napita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom