Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Uko nyuma during of my heyday Nilikuwa na uhusino na kabint hivi jamaaa yangu wa karibu akakataka pia, after several attempt za kunizunguka kushindikanq ili apige mbunye , kutokana na kademu kana msimamo kanajua mimi na jamaa ni marafiki ikabidi jamaa aniambie ukweli kuwa anamtaka demu wangu. Jamaa anajua vizuri hulka yangu so haikumuwia ngumu kuniambia kitu kama icho na si mara ya kwanza jamaa kuniomba mademu zangu.
Siku moja nikakaita gheto(ni kabint kadogo hakawezi nishinda maarifa na ulaghai) nikakapa ABCD kuhusu jamaa, kufupisha story nikakambia jamaa ni mtu sahihi kwake kuliko mimi kwasababu kadha wa kadha.
Kutokana kalivyokuwa kananiogopa na kunitii nikakachukua hadi gheto kwa mshikaji wakafanya yao usiku kucha na toka siku hiyo nikajitenga pembeni.. Ila kademu roho ikiwa ipo kwangu hata wanapokuwa faragha na kutokana kuwa mimi sikauki mdomoni mwake ilo jambo halikumpendeza jamaa, ikabidi jamaa amwabie demu kuwa mi natumia DOZI so kuendelea kuniwazia mimi ni kuhatarisha maisha yake. Kademu kakaja Kuniambia story nzima, nikakualiza amekuabia hivyo, WEWE UNASEMAJE ?. kakasema, mimi nilikuwa ninakuambia tu vile jamaa yako anasema kuhusu wewe,
Nikasema sina neno kuhusu anachokisema jamaa, ikiwa unahitaji uthibitisho juu ya alichokisema mwambie athibishe yeye. Kutokana na ujira niliolipwa na jamaa yangu dhidi ya kazi niliyoifanya ya kumpa demu tena binti mbichi, ikabidi niendelea kukafinya kale kademu.
Ila ni kwamba hadi leo ni mwaka wa 8 sijawai mwambia jamaa kuhusu UNAFIKI wake dhidi yangu na tunawasiliana kila uchao na tunasaidiana sana katika mambo mengi.
Yani ukarudisha majeshi kwa huyo Binti ili kumkomoa jamaa Yako, upo sawa kweli mkuu?
 
Huyu jamaa toka ametoka jera hayuko sawa
Kweli kabisa hayuko sawa tokea nimpe spana matata iliyomwingia vyema sasa ameamua kujipa Kazi ya kutafuta kila post yangu kudisike na kuniquote hovyo halafu mimi sina habari nampuuza tu hata kumquote naona kupotea muda.

Huyo dogo nilianza kumuona akili hana baada ya kuwa na tabia ya kila uzi kupost picha ya Wasira, Stivu, Nguruwe na wanawake wakiwa uchi siku hizi amepunguza baada ya dawa yangu kumuingia kisawasawa ameamua kunichukia na kuanzisha vita ya kipuuzi dhidi yangu kisa mimi nachukia ujinga hapa Jf haswa uliofikia katika kiwango kama chake.
 
Uko nyuma during of my heyday Nilikuwa na uhusino na kabint hivi jamaaa yangu wa karibu akakataka pia, after several attempt za kunizunguka kushindikanq ili apige mbunye , kutokana na kademu kana msimamo kanajua mimi na jamaa ni marafiki ikabidi jamaa aniambie ukweli kuwa anamtaka demu wangu. Jamaa anajua vizuri hulka yangu so haikumuwia ngumu kuniambia kitu kama icho na si mara ya kwanza jamaa kuniomba mademu zangu.
Siku moja nikakaita gheto(ni kabint kadogo hakawezi nishinda maarifa na ulaghai) nikakapa ABCD kuhusu jamaa, kufupisha story nikakambia jamaa ni mtu sahihi kwake kuliko mimi kwasababu kadha wa kadha.
Kutokana kalivyokuwa kananiogopa na kunitii nikakachukua hadi gheto kwa mshikaji wakafanya yao usiku kucha na toka siku hiyo nikajitenga pembeni.. Ila kademu roho ikiwa ipo kwangu hata wanapokuwa faragha na kutokana kuwa mimi sikauki mdomoni mwake ilo jambo halikumpendeza jamaa, ikabidi jamaa amwabie demu kuwa mi natumia DOZI so kuendelea kuniwazia mimi ni kuhatarisha maisha yake. Kademu kakaja Kuniambia story nzima, nikakualiza amekuabia hivyo, WEWE UNASEMAJE ?. kakasema, mimi nilikuwa ninakuambia tu vile jamaa yako anasema kuhusu wewe,
Nikasema sina neno kuhusu anachokisema jamaa, ikiwa unahitaji uthibitisho juu ya alichokisema mwambie athibishe yeye. Kutokana na ujira niliolipwa na jamaa yangu dhidi ya kazi niliyoifanya ya kumpa demu tena binti mbichi, ikabidi niendelea kukafinya kale kademu.
Ila ni kwamba hadi leo ni mwaka wa 8 sijawai mwambia jamaa kuhusu UNAFIKI wake dhidi yangu na tunawasiliana kila uchao na tunasaidiana sana katika mambo mengi.
Mi siwezi wasiliana na snitch na ukweli lazima nikwambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom