EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 akili za ki baharia.Itategemea hicho kitu nimekisahau sehemu gani ila kama nimesahau simu nyumbani lazima niirudie kwasababu najua nikiiacha yatakayotokea ni mazito🤣🤣
Charger ya simu huwa nikiona nimesahau naachana nayoCharger na simu, huwa siiachi nyuma hivyo viwili. My best friends all the time.
Siku nikisahau Pesa nadhani ntaanza trip za kwa Psychiatrist instantly maana ni ngumu kusahau.
Pia huwa naipotezea nikiwa nshatoka zaidi ya 1km toka home.Charger ya simu huwa nikiona nimesahau naachana nayo
aisee nadhani imejaa paswordSimu
Hapana, sijawahi weka password. Ni vile simu imekuwa kama kiungo cha mwiliaisee nadhani imejaa pasword
heeeee kiungo hhahah basi bwanaHapana, sijawahi weka password. Ni vile simu imekuwa kama kiungo cha mwili
I second this Mwnaume Kamili anayejitambua hatakiwi kuikosa hii kwenye Gari au wallet (Ila isikae mfuko wa Nyuma) !Condom